Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama
Kujulikana kwao na kwenyewe kwa mbinde, au hii ni kufuatia kifo cha jasusi mbobezi ikaonekana hakuwa na kinga....
Yale Yale tu, ya kingunge kugeukwa na mbwa wake.

Si Rahisi kuzuia mabadiliko ikiwa muda umefika.

Tusubiri.
 
Kwa hiyo CEO's DG's ambao ni wa Kitengo hata wakipiga Jinai kwenye taasisi zao wana kuwa na kinga kwamba they won't be sued? Inasikitisha......
 
Yale Yale tu, ya kingunge kugeukwa na mbwa wake.

Si Rahisi kuzuia mabadiliko ikiwa muda umefika.

Tusubiri.
Halafu hawa TISS si ndo wamejazana kwenye nafasi za uteuzi, kwa hiyo hata wakifanya ufisadi wa kufuru kama ule wa invoice ya ndege wataishia kuambiwa stupid, maana hawashtakiwi hao ati.........na unaweza kukuta wana hata kinga ya kutoitwa stupid.
 
Waliouchomekea muswada huo watakuwa ni Sukuma gang.


Kassim Majaliwa Majaliwa ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Mama Samia ajichunge sana na huyo mtu.
 
Waliouchomekea muswada huo watakuwa ni Sukuma gang.


Kassim Majaliwa Majaliwa ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Mama Samia ajichunge sana na huyo mtu.
We kibibi, wanaCCM wote ni watu hatari sana kwenye hii nchi. Na boss wao wa sasa ndie hatari kuu!
 
ikija kuwaguka ndio wataelewa.... natamani pia waweke na misingi ya hii taasisi kuwa ni yenye kujitegemea (huru), hapo itapendeza zaidi
 
CCM yaliingizwa mapandikizi mengi wakati wa bwana yule, hayo ndiyo yanaivuruga nchi
Wakati wa bwana yule, mlikua mnaimba mapambio kusifu kila kitu. Sio ajabu hata sasa unafanya jambo lilelile.

Tunae rais dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe!
 
Raia mwema?au raia asiyejua haki zake,amefanywa maskini,fukara,ajira hana,kipato Duni,afya mbovu,
Huyu hawezi kuwa raia mwema,ni mjinga na zombie TU,ccm wanatengeneza mazombie,ukimnyima mtu elimu,afya,na kipato,huyo utamtawala milele,
Mtz yupo tayari kupiga na kuua mwizi wa kuku!lakini akiambiwa Kuna ofisa kaiba bilioni 40,haelewi,Wala Hana uwezo wa kuhusisha wizi wa bilioni 40,na maisha yake Duni,elimu Duni,afya Duni,chakula Duni,miundombinu Duni,akijua haya ndio atakuwa raia mwema,
Hiyo TISS inatayalishwa kulinda majizi yaliyopo madarakani,atakaeleta fyoko,ni kutulizwa TU,
Mbaya zaidihata wale "wawakilishi"wa wananchi,wabunge na wao wamejongea meza ya ulaji,hawana msaada.
Raia wema ni kama wa Sri Lanka,waliochoshwa na wizi,ufisadi wakaamua kuvsmia ikulu,Rais akakimbia nchi!
Jeshi halikuingilia huo ugomvi,mkuu wa jeshi yeye alisema ni ugomvi kati ya wananchi na Rais wao!!
Wananchi walikataa upuuzi,wakafanya maamuzi,bongo hakuna raia wema,wamejaa waoga,na wajinga,
Vijana wa kiarab waliofanya Arab spring ndio raia wema,sio mazombie ya bongo,
 
Nimeona wanasiasa, wanasheria na wananchi wengine wakianza kupiga zumari ya hatari kutokana na hii issue.

Naona bunge likiipitisha na kwenda kutumika, bahati ni mbaya sababu hao wabunge kwa 99% wapo pale wakiwa na njaa, hofu na wenye kusema liwalo na liwe, nikimaliza ubunge na kupewa kiinua mgongo changu naachana na siasa.

So wanaenda kupitisha hii kitu tena yawezekana wengine wanaweza kuruka sarakasi japo wamekatazwa ila kwa njia ya kelele ya NDIYOOOOL!.

Hawajui, wala akili kuwajia kuwa hata kama ataqchana na siasa ila hiyo sheria itakuja kum_discipline hata mwanae kwa siku za usoni.
 
Sio ombi

Ni lazima wabunge mhakikishe mnalinda maslahi ya TISS kwani hata ninyi hua mnalindiwa maslahi yenu.

Niwahakikishie mkizingua msishangae ninyi wabunge kuzinguliwa zaidi.

Hiyo sheria sio mbaya ipitishwe na maisha mengine yasonge mbele,

Kuwatukana watumishi wa idara ya usalama ni kujipotezea muda bure tu,
 
Back
Top Bottom