Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Kwa akili hizi safari ya tz kurudi misri ipo pale pale amna wakutupeleka nchi ya ahadi hapa!
 
Toka kwa shemeji kajitegemee upate akili
 
Je ni sahihi ku lockdown wasitoke nje nchi kitropical za joto?. Kwanini uige njia zinazotumiwa na taifa baridi US na Ulaya zenye baridi. Unafungia watu tena bila chakula,.wew unajifungi na wademu na vyakula. Lakn Rais wetu mpendwa hakufanya ivi,ndio maana rais shujaa wa haki na demokrasia
 
Hii ishu ni very simple! Ukichukua madaraka una SUSPEND katiba unawashitaki.
 
Atafika mwisho mbaya sana.

What I see,wanajifurahisha tuu

Akija rais mpya mwenye dhamira ya ku-put these motherfuckers away for good,it does not matter katiba imebadilishwa vipi,these motherfuckers will pay for their crimes.

Thats it,watalipa....

Wanapoteza muda tu kufunika their crimes with some stupid amendments.....

Katiba hakikulindi unapofanya crimes against humanity...I will laugh at these clowns when time comes!

Eti ammendments,fvck ammendments....itapigwa ammendments again kuondoa kinga,and guess what,wahame dunia kabisa!
 
Unampa Kinga mtawala wa kiafrica halafu unataka maendeleo ukapimwe akili, waafrika sisi tuendelee tu kuwa masikini ndo tunachodisevu
Ni kweli kabisa, bila kuwa na namna ya kumwajibisha kiongozi wa kiafrika basi ujue unafungua milango ya ukandamizaji mkubwa wa haki za watu na ubadhirifu wa mali za umma.
 
Jiwe hata afanyeje 2026 lazima ashighulikiwe kwa maovu yote aliyofanya hata Kama rais mpya atatoka ccm
 
Siku nyingi ilisemwa mkajizunguusha kuwa hayo madaraka ya rais ni makubwa sana ipo siku atatokea rais kichaa atalitumia vizuri hilo gap hamkujali 🤣🤣🤣
 
Mtoa maada unamulaumu nani CCM,RAIS,MAGUFULI, WANANCHI,SELIKALI,. Unalalamika nini, kitu gani mswaada gani. Sikuelewe. Muache rais wetu nani aliyemchagua, .awe mfalme ivi mfalme anachaguliwa kura za wananchi, acha ku mambo yako
Kina ndiyoooooooo mna matatizo sana.
 
Tanzania inaongozwa na watu wa, ajabu sana,wanaogopa nini kama wao ni wasafi ,kunadhambi kubwa inaenda kufanyika,eti spika awe juu ya katiba

Hata sisi tunaoendelea kuwashabikia na kuwachagua nasi ni watu wa ajabu!
 
We jamaa hivi unachochangia kinaendana na mada? Unalazimisha kutetea hata kama hauna points?

Wenzako kina Bia yetu wamekaa kimya sio wajinga, hawana cha kupinga hapa. Ujikalie kimya tu na wewe ufiche umbumbumbu.

Ni ishu sensitive sana hii, acha kutawaliwa na upofu wa mahaba.
 
hawezi kuzidisha hata siku tatu muda wake ukiisha ccm kuna walevi wa madaraka watamgeuzia kibao hata yeye hatoamini na hilo analitambua fika
Walevi wa madaraka hawana uwezo wa kumfanya chochote rais aliye madarakani labda waingie msituni kutumia mbinu mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…