Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Sioni hao viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakifanya wajibu wao, maana wao ni sehemu ya huu ukandamizaji na uvunjwaji mkubwa wa katiba. Nadhani kuna malipo fulani wanapata ya upendeleo, hivyo hawana uhakika huyu anayewapa sasa, kama akija mwingine watapata upendeleo binafsi. Na ukifuatilia kwa ukaribu sana utaona viongozi wa hivyo vyombo vya dola ni watii kwa rais kama mtu, na sio rais kwa muongozo wa katiba. Ndio maana chaguzi za nchi hizi zinaharibiwa, wapinzani wa chama cha rais wanafanyiwa ukatili wa wazi, lakini vyombo vya usalama ndio wanakuwa wakwanza kuficha ukatili huo.

Hapa tulipofikia bila kuingia mabarabarani kwa amani sioni nchi yetu kutokuangukia kwenye mauaji ya kutisha. Kuna ghiliba inachezwa kuwa kiongozi huyu ni mcha Mungu kwa kuwaweka viongozi wa dini mbele kwenye shughuli za kitaifa, lakini lengo ni kufunika unyama uliopo na unaopangwa kufanywa. Kama kweli kiongozi huyu ni mcha Mungu, na anafanya mambo mema, ni kipi kinafanya ajiwekee kinga za kibinadamu na sio hizo kinga za Mungu?
Viongozi wa hivo vyombo, viongozi wa dini, wastaafu,TISS Hawa ni wanufaika hivo usitegemee waangalie maslai ya nchi waache yao.Maana wanajua Kama akiingia mwingine uenda hawatoweza kunufaika hivo ni lzm wayalinde maslai yao ya Sasa.Ni Hadi pale mirija yao ikikatwa.
Duniani kote dikteta sio tatizo tatizo ni wapambe wanufaika backup hawa ndio umtia ndimu dikteta asiachie sababu wanajua bila yeye ni lzm watakufa njaa.Wenzetu weupe wao ndio wenye hulka za kujali maslai ya Jamii na sio ya kikundi cha wanufaika.
 
Ni wakati sasa wa vyombo vya ulinzi na usalama kuingilia kati na kuwaweka sawa hawa watawala.

Maofisa wote wa jeshi, polisi na hata usalama wa taifa hua wanaapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi.

Wakati ndio huu, tukishindwa kumdhibiti huyu Magufuli atazidi kuitumbukiza nchi kwenye udikteta hatua kwa hatua, tutakuja kuamka ikiwa too late.
Hao ni wanufaika Wala usitegemee wajali kuhusu wwe
 
Kinachonishangaza zaidi

Serikali ya awamu ya Tano

1. Imejaza maprofesa na madaktari kila kona
.....sheria Kabudi (mwalimu UDSM)
..... Tulia Phd (Jaji Mahakama kuu)
.....Mwakyembe Phd (mwalimu UDSM)

Naomba tuwaorodheshe, hawa wataalamu wetu wa sheria maprofesa na madokta

Je hili linalofanyika wanamchango gani?
 
Kwanini mtenda
1. Mema
2. Haki
3. Kweli na upendo

Ahofie mahakama? Ahofie usalama wake kisheria?
 
kiukweli hizi nchi zetu za.kiafrika ili uweze kuwashinda mabeberu huna budi kupingana na katiba ya nchi yako kwenye maslahi yao waliyoyachomeka katika hiyo katiba,
Kwahiyo Magufuli anashindana na mabeberu ?
 
Kinachonishangaza zaidi

Serikali ya awamu ya Tano

1. Imejaza maprofesa na madaktari kila kona
.....sheria Kabudi (mwalimu UDSM)
..... Tulia Phd (Jaji Mahakama kuu)
.....Mwakyembe Phd (mwalimu UDSM)

Naomba tuwaorodheshe, hawa wataalamu wetu wa sheria maprofesa na madokta

Je hili linalofanyika wanamchango gani?
Nchi hii imejaa PhDs za hovyo sana, kama PhDs hao hawawezi kuongea hata sentensi mbili za kingereza fasaha unaweza kujiuliza humo kichwani wamejaza nini ?
 
Tusijidanganye watawala wetu wa zamani hawawezi kugeuka kwa usiku mmoja na kuwa wajomba zetu au wakombozi wetu kiuchumi, ni lazima tuamke.

Watawala hawafuati Sheria katika utendaji kazi na washegundua wamekosea na wana maovu mengi sana ambayo yatapelekea washitakiwe. Hivyo wanajiwahi kutunga sheria ya Kuwalinda ili Wafaidi haramu.

Kila mtu abebe mzigo wake. Kama Spika kakosea ashitakiwe yeye. Sababu katenda yeye. Kila mtu afe na maovu yake.
 
Magufuli siyo muadilifu na hupenda kuonea na kunyanyasa wasio upande wake.
Hofu hii ndiyo inamfanya ajijengee ngome ya sheria ili akiaacha madaraka asishitakiwe.
Angekuwa msafi asingekuwa na hofu hizi! Anavunja sheria na katiba kwa makusudi ndiyo maana ya yeye kuanza kujiwekea kinga.

Lakini hayo ni makaratasi tu Wala hayamkingi mwanadamu kulipwa matendo yake ukifika wakati.Saddam , Bashiru walikuwa nayo lkn yameshindwa kuwaokoa.Wala sio msahafu ni kitu kinabadilishwa mda wowote na ajae na kuwalipa matendo yao.
Kama wao wameshindwa kuheshimu katiba walizozikuta vipi wajao wataziheshimu wanazoweka Sasa.
 
Ndicho kitakacho fuata, amewaumiza wengi sasa mwisho wa siku atataka kufia ofisini ili kujilinda.
Lazima tulipinge hili sisi kama wananchi.
October tusipofanya maamuzi mazito hati hati tutatawaliwa na Wasukuma forever , means bashite next speaker Hadi 2040 jiwe atamuachia bashite so nae another 40 yrs.Ikulu mpya why? Kinga ya kutoshtakiwa why? Connect dot.
Yote ni hofu watarudije kwa Jamii waliyoiumiza,jibu pekee ni kung'ang'ia madarakani,wanajipa hofu tu.Hakuna mtz anaeweza au kufikiria kulipiza kisasi kwa yote tuliotendewa,maana si watu wa visasi
 
Huu mswada ukipitishwa Ccm jiandae kuondoka mapema sana October
SAA NNE hasubui iwe mvua I we jua .tutapiga kura kwa hasira.
Mkipiga kura nyingi kwa wingi chance ya kuiba ni ndogo.
Pia tuombe polisi wajazwe Roho Mtakatifu waione kweli
 
Naapa hili swala litafumbiwa macho kwa upumbavu wetu Ila madhara ni makubwa mnoo.

Ccm plz plz stop this shit at all... This is your own grave individual!!
Hayupo wa kumfunga nyau kengele,wote ni mapanya, atakayejipendekeza atakuwa wakwanza kuliwa.
Dawa ya nyau ni sumu tu,si kufunga.
 
Back
Top Bottom