mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
So tumekubaliana kwanza kwamba vyombo ni ruksa kwa mujibu wa biblia ila shida yako unataka kujua mstari wa wapi imeandikwa watu waende bar kupiga vyombo si ndio
Ha...ha...ha...
Bar hapanywewi Pombe pekee.
Bar ni Jengo panapo uzwa vinywaji mbalibali na Chakula. Na pia sehemu ya kupumzika kubadilishana mawazo na Wasau mbali mbali.
Maandiko yanakataza pombe kama inanywewa bila kufuata taratibu zake kama nilizoziandika pale juu.
Hema la kukutanikia ni hekaluHilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
Hema la kukutanikia ni hekalu
Yesu alishuka duniani kwa lengo moja tu.Kwani YESU aliwahi kufanya mapenzi?
Mbona NYIE wakristo mnafanya mapenzi?.
Kwanini msiseme kwa kuwa yesu hakufanya mapenzi na NYIE HAMFANYI.
Hapo imekatazwa Kwa wahusika kunywa kilevi waingiapo hemani kukutanika, ikiwa na maana kama Leo tungesema usilewe unapokuja kanisani au kazini Hilo haliwezi kuwa katazo la kunywa kileo Ila tu Kwa wakati huo.HAPO VIPI?View attachment 2066760
Wewe na bangi sasa..Tutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Hapo imekatazwa Kwa wahusika kunywa kilevi waingiapo hemani kukutanika, ikiwa na maana kama Leo tungesema usilewe unapokuja kanisani au kazini Hilo haliwezi kuwa katazo la kunywa kileo Ila tu Kwa wakati huo.
Je wakiwa hawaingii hemani wanaruhusiwa kunywa kileo?
Nini tofauti ya wafiraji na walawiti?Soma aya ya 9 mpaka ya 10View attachment 2066789
Walevi ni hao nilio waorodhesha hapo juu.Soma aya ya 9.
Je walevi watauona UFALME WA MUNGU?
he huko tayari kuukosa UFALME WA MUNGU sababu ya uleviView attachment 2066784
Walevi ni hao nilio waorodhesha hapo juu.
Sio wanaokunywa Pombe.
Ni kama Walafi, Sio wasio kula Chakula.
Mkuu ukiona kitu kinakatazwa sehemu flani tu maana yake sehemu zingine kinaruhusiwa.Mbona andiko la kukatazwa kunywa pombe hekaluni lipo.
Ila andiko la kuruhusu kunywa pombe kilabuni halipo?
Au muandishi alisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ukiona kitu kinakatazwa sehemu flani tu maana yake sehemu zingine kinaruhusiwa.
Ukiona unaambia Usinywe ukiwa kazini ni kwasababu pombe inaruhusiwa kunywewa sehemu zingine.
Huwezi kukuta katazo kinasema usivute bangi ukiwa kazini kwasababu bangi hairuhusiwi popote..
Hapo watakwambia hilo ni agano la kale na ni sheria kipindi cha Musa, ila alipokuja Yesu alitengua kwa yeye mwenyewe kiyageuza maji kua divai katika sherehe kisha waumini wakapombeka.Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Je Yesu hakuwahi kuitwa mlevi?Hivi inaingia akilini kweli.
Yesu kutengeneza POMBE?
hata kwa akiki tu za kuvukia Barabara.
Kwani kunaandiko Mungu katuruhusu Kula, au katuruhusu kula Soseji.Basi nipe andiko Mungu kawaambia MNYWE POMBE BAA
Nini tofauti ya wafiraji na walawiti?
Je Yesu hakuwahi kuitwa mlevi?
Kwani kunaandiko Mungu katuruhusu Kula, au katuruhusu kula Soseji.
Ila Tu katwambia kabisa kimwingiacho Mtu hakimtii unajisi inatosha kabisa.