Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Soma aya ya 9.
Je walevi watauona UFALME WA MUNGU?
he huko tayari kuukosa UFALME WA MUNGU sababu ya ulevi
So tumekubaliana kwanza kwamba vyombo ni ruksa kwa mujibu wa biblia ila shida yako unataka kujua mstari wa wapi imeandikwa watu waende bar kupiga vyombo si ndio
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Soma aya ya 9.
Ha...ha...ha...

Bar hapanywewi Pombe pekee.
Bar ni Jengo panapo uzwa vinywaji mbalibali na Chakula. Na pia sehemu ya kupumzika kubadilishana mawazo na Wasau mbali mbali.
Maandiko yanakataza pombe kama inanywewa bila kufuata taratibu zake kama nilizoziandika pale juu.
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Hilo andiko halijasema msinywe divai wala kileo chochote kwani kufanya hivyo ni dhambi,, bali limesema msinywe divai na kileo pale tu pindi muingiapo ndani ya hema ya kukutania,, sasa hapa inabidi tujua hilo hema la kukutania ndio wapi ili watu wakiingia humo tu wasipige vyombo,, ila vyombo ni ruksa kwa mujibu wa andiko alilolitoa mkuu Bujibuji Simba Nyanaume
Hema la kukutanikia ni hekalu
 
Kwani YESU aliwahi kufanya mapenzi?
Mbona NYIE wakristo mnafanya mapenzi?.
Kwanini msiseme kwa kuwa yesu hakufanya mapenzi na NYIE HAMFANYI.
Yesu alishuka duniani kwa lengo moja tu.

Kuwatangazia walimwengu Habari Njema ya Ufalme wa Mbingu.

Alipo maliza alipaa Mbinguni.
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10
Hapo imekatazwa Kwa wahusika kunywa kilevi waingiapo hemani kukutanika, ikiwa na maana kama Leo tungesema usilewe unapokuja kanisani au kazini Hilo haliwezi kuwa katazo la kunywa kileo Ila tu Kwa wakati huo.
Je wakiwa hawaingii hemani wanaruhusiwa kunywa kileo?
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Ili USIWE mlevi unatakiwa unywe bia kuanzia ngapi?
Au alcohol ngapi imewekwa Kama kipimo yaani ukifika hyo alcohol inakuwa umekuwa mlevi.
Walevi ni hao nilio waorodhesha hapo juu.
Sio wanaokunywa Pombe.

Ni kama Walafi, Sio wasio kula Chakula.
 
Mbona andiko la kukatazwa kunywa pombe hekaluni lipo.
Ila andiko la kuruhusu kunywa pombe kilabuni halipo?
Au muandishi alisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ukiona kitu kinakatazwa sehemu flani tu maana yake sehemu zingine kinaruhusiwa.
Ukiona unaambia Usinywe ukiwa kazini ni kwasababu pombe inaruhusiwa kunywewa sehemu zingine.
Huwezi kukuta katazo kinasema usivute bangi ukiwa kazini kwasababu bangi hairuhusiwi popote..
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10
Mkuu ukiona kitu kinakatazwa sehemu flani tu maana yake sehemu zingine kinaruhusiwa.
Ukiona unaambia Usinywe ukiwa kazini ni kwasababu pombe inaruhusiwa kunywewa sehemu zingine.
Huwezi kukuta katazo kinasema usivute bangi ukiwa kazini kwasababu bangi hairuhusiwi popote..
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10.
Paulo huyo huyo anasemaje?
Kwani kunaandiko Mungu katuruhusu Kula, au katuruhusu kula Soseji.
Ila Tu katwambia kabisa kimwingiacho Mtu hakimtii unajisi inatosha kabisa.
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Back
Top Bottom