Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Impossible, huwezi kuingia masijidi eti uswali hata kama wewe ni budha,,
Tatizo la imani zingine, suala la kupata waumini wamelifanya kama a do or die project,,
Mfano sisi wa imani ya kiyahudi,, huwa hatuhubiri dini yetu,, yaani kizuri hakihitaji jitihada nyingiii kuuzika,
[emoji23][emoji23]
 
Iliwahi kutokea Bihawana sec 2009.walikujaga form five Fulani kakikundi cha kiislam. Hii ilitokea baada ya kuona miaka yote hp walikuepo ni wakristo Waislamu walitaka kupachika HP wao wakashindwa vibaya mno.
 
wazungu wanatembea vichupi Zanzibar mmeshindwa kuhangaika nao mnahangaika na shule,pointless
Bila hao wazungu wataishije ilhali wanategemea utalii na wazungu ndio watalii wanaotoa pesa . Pesa siku zote inatoka Kwa mzungu sio mwarabu . Mafuta yanayozungumzwa hayajawahi kuwepo kama yapo ni kidigo Sana . Uganda uliposikia mafuta tayari wanaanza kuchimba .Znz wameanza kuzungumzia kuchimba mafuta imebakia kuwa story
 
Wewe kweli Kimbori. Vutu wahed
 
Wazanzibar ni wabaguzi sana Niko nao huku yaan ni very uncivilized sijui wanajionaga kina nani aisee? Rais wa nchi kusimama mbele ya hadhara eti mm ni mzanzibar!! shame!! Mbona huongozi nchi ukiwa huko zenji kutwa upo bara.
Kwasababu watanganyika ni wajinga
 
Tumjue kwanza huyo Agape ni Mtanganyika kweli? Ni Mweusi au Muhindi
 
Waislamu hawajielew, ndio maana hawataki kukimbilia misri, saudi arabia etc, utaona wanakimbilia Australia, USA Nchi za makafiri
Hapo ndiyo huwa nachoka na wakifika huko wana anza chokochoko, yaani sijawahi ona wanakimbilia hata huko Morocco, na wao viongozi wahuko wanakosea wangekuwa wanawakusanya nakuwarudisha makwao ili wakaipiganie huko makwao, uliona wale waliopanda ndege ya mizigo na zile kanzu zao haa haa haa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo Cha uzuri wa shule Ni ufaulu wa wanafunzi lkn wenzetu nyie mnaangalia hijab na kiarabu. Kiarabu kitawasadia Nini?
Kiarabu kinasaidia kuwakaza dada zenu.
 
Watanganyika ni wajinga, vunjeni muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…