Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January


Hapa ndio mzizi
 
Inakuwaje Raisi wa Tanzania anatoka sehemu zote lakini wa Zanzibar anatoka Zanzibar tu?

Makamu vile vile na mawaziri pia.
Nini manufaa ya haya?
Watu 58ml wanataka usawa na watu 1.4ml?
Watu 1.4m harafu Mama Samia anataka tugawane nafasi za ajir na hela sawasawa? Hii hapana
 
Uninga wenu chogo bapaa ni mmoja..mnajipendekeza kwa waarabu kama choko..wakat wenzenu huko kwao wanawaona nyau ngabuu..ebu anzeni kufauata tamaduni zenu..mtoto kufundshwaa kiarabu ndo upuuzi gani huo?? Fundisheni kiswahl na kingereza baas..mana kingereza kitamuokoa mtoto kwenye ulimwengu wa biashara na sayansi..sasa hicho kiarabu kinachoandikwa kwa kurudi nyuma kama mchawii wapi na wapi..
 
Kama vipi muungano uvunjike kila mtu apambane na nchi yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaandika kinyume nyume kama wale wadudu wasukuma mizigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakao kuja kuuelewaumuhimu wa huu muungano ni kizazi cha 6 au 7 hawa waliopo bado wana akili za uzanzibar na utanganyika
Uhuru wenyewe tuliupata juzi tu miaka 60 imepita yaani mtoto aliyezaliwa miaka hiyo bado yupo
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Hakuna la ajabu hapo!!dunia nzima kwwnye nchi za kiislam iko hivo kwa shirika/taasisi zilizochini ya madhehebu mengine tofauti na dini ya kiislamu , zinakutana na vikwazo vingi sana ili vishindwe tu kufanya kazi maeneo hayo, tofauti na upande wa pili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…