Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Kama ndivyo anavyofanya hiyo mmiliki basi SMZ wapo sahihi kumpiga hiyo ban
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Kipimo Cha uzuri wa shule Ni ufaulu wa wanafunzi lkn wenzetu nyie mnaangalia hijab na kiarabu. Kiarabu kitawasadia Nini?
 
Swala la dini liachwe kwa wananchi kuchagua sio kwa serikali kujipa jukumu la kuwachagulia wananchi.
 
Wanaosema ni udini nawauliza je munaijua mikataba yao ya uwekezaji hadi waislamu wakaenda shule hiyo?Watanganyika acheni mambo yenu ya ajabu kama mumeshindwa kufuata utaratibu wa uwekezaji na ushauri wa wizara ya elimu na Amal zanzibar hamisheni shule mukaiweke bukoba ,musoma,iringa na kwa wanyamwezi wenzenu musituhangaishe!Shule zanzibar sio hiyo tu zipo nyingi za manaswara lakini zinafuata utaratibu.Ubishi wenu musituletee huku visiwani!
 
Hata hoja ya msingi hakuna sana sana ni udini tu
 
Ili iwe nchi Inatakiwa iweje
Zanzibar ina
Ardhi
Watu (citizens)
Baraza la mawaziri
Bunge-Baraza la wawakilishi
Mipaka ya kijiografia
Mahakama
Bendera ya Taifa
Wimbo wa Taifa

Huku Tanganyika
Hakuna
Bunge
Rais
Baraza la mawaziri
Mimi naona ifike mahali muachiwe mjitegemee wenyewe. Tumechoka makelele yenu
 
Shida ya watanganyika wanajitoa ufahamu wakija zanzibar. Katiba iko wazi mtanganyika huku ni mgeni kama wageni wengine
 
Kwani wanajitungia wao mtihani wa taifa? Na hao Waislmu wamekosa shule zao mpka waende kwa wanaowaita makqwafir au ndo baniani mbya kiatu chake daawah,

ila watajuana wenyewe
Tumuulize huyu Amosi John Henock
 
Wapi umeona shule za kiislam zikilazimisha mtu asiekuwa muislam kwenda kusali?
 
Maneno yenu yanakufarahisheni nafsi zenu huku yanakufanyeni kuonekana wajinga 😀

Hijabu ni uniform, hakuna shule inayolazimisha mtu kusomea dini ya kiislam ikiwa sio muislam. Hakuna shule ilolazimishwa kuwa ya kiislam, kuna utitiri wa shule za private uku kwetu na hazijalizimishwa kuwa za kiislam. Inaonekana ata hukusoma habari zaidi ya kichwa chake tu.

Huwezi kumzuia mtu kufuata imani yake shuleni.

Mbona haikufungiwa St. Francis Maria na ipo miaka mingi tu?
 
Hawa wanzibar tumewadekeza sana, huu muungano uko one sided ....haiwezekani na haikubaliki

Kuna mengi sana ya kusema juu ya madhira ya huu muungano

Naomba niishie hapa!
Hata siye umetuchosha hivyohivyo usifikiri tunaupenda.Tulisema koti likikubana unalivua mkakataa tusilivue!
 
Hivi Tanganyika inanufaika na nini Na Zanzibar hadi kuendelea kuwabeba hawa Watu?

Inaonekana mambo ya Tanganyika Ndio mambo ya Muungano na Mambo ya Zanzibar ni mambo ya Zanzibar!!!!

Inakuaje watu kutoka Tanganyika wamepigwa marufuku kufanya kazi Serikali ya Zanzibar ili hali wazanzibar ni wamejazana huku Tanganyika hadi Kuziba Ridhiki zetu...

Watanganyika tuache kuona kila jambo alilofanya Nyerere ni Hazina ili hali na yeye ni Mtu...
Hata Vitabu vya dini vinatutaka Kuhoji kila kitu...

Hofu yangu sasa hivi ni pale atakapoteuliwa Mkuu wa Majeshi, Intelligence, Police na Prisons kutoka Zanzibar ndipo tutakapo ita maji Mma!!

Mimi naona Bora watanganyika nao waanze tu Kuwabagua wazanzibar kama wao was anavyotubagua sisi!

Hawa watu wanabenefit sana na hili limungano
Hata loans chuo yanapata kotekote Heslb yakiomba yanapewa na kule Zanzibar yanapewa!

Kuna jamaa nimesoma nae alikuwa Loan beneficiary’ wa Bodi zote aghaaa!!

Watanganyika tuwe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…