Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Utampelekaje mtoto kwenye shule yenye utaratibu wake wa dini flani?
 
Ingekuwa unayosema wewe ni kweli mwenye shule asingekiri na kukubali kufuata Sheria Kama zinavyomuongoza

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Shule zipo nyingi na zenye imani tofauti, mzazi anayo fulsa ya kuchagua wapi mtoto wake ampeleke.

Tatizo ni kulazimisha kupata elimu bora kwa masharti ya mzazi badala ya mwenye shule.

Na si lazima kumpeleka mtoto kwenye masharti ambayo hayaendani na imani yako mzazi.

Mmiliki wa shule alijenga huko kwa ajili ya watu wenye imani anayoiamini yeye hivyo wengine haiwahusu mnalazimisha tu.

Hamtaki masharti acheni kupeleka watoto hapo kwani kuna ulazima?
 
Kumbe serikali ya mapinduzi Znz inaendesha ubaguzi wa kidini!!!
Kuna umuhimu gani wa kufunga shule ya kikristo huko wakati kuna shule nyingi za kiislamu?!!!
Kwa maelezo iyo shule ni mchanganyiko ila mwenye shule anataka kuifanya ya kikristo bila kufuata Sheria

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Utampelekaje mtoto kwenye shule yenye utaratibu wake wa dini flani?
Hiyo shule sio ya kidini ila mmiliki anataka kuifanya ya kidini bila kufuata utaratibu ndio maana ameambiwa amekiuka Sheria nae amekiri hilo anatakiwa ajirekebishe

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaingalia Dar na pwani umeenda huko hasa usukumani ? Hivi anaeoa wake wengi kwa minajili yakupata watoto wengi nani? Wewe unao wake wangapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia trend ya population ya tanzania, angalia gep la idadi kati ya waislam na wakristo miaka ya 60 na saivi 2021....utagundua gep limepungua significantly na hali ikiendelea waislam watakuja kuwa wengi zaidi by 2050
 
Kwani wakiristo ni wengi kuliko waislam!?..kwa sensa ipi?
The Fact kwamba mpaka sasa hamna fukuto la watu kujilipua au kulazimishana sheria za dini na Ghasia za watu kutaka iwepo Sharia Law hapa Tanzania inatosha kuonesha ni dini gani ina idadi kubwa.
 
The Fact kwamba mpaka sasa hamna fukuto la watu kujilipua au kulazimishana sheria za dini na Ghasia za watu kutaka iwepo Sharia Law hapa Tanzania inatosha kuonesha ni dini gani ina idadi kubwa.
Idadi ya watu hupatikana kwa kuwahesabu,sensa..England pametokea ugaidi,ni watu gani wengi!? Kenya ugaidi kila siku,msumbiji..akina Nani wengi huko!!!?..ulisoma ili upate vyeti siyo!!!..na si kuelimika,hoja gani za kipang'ang'a unaleta hizo!!
 
Sasaivi raisi ametoka zanzibar mumeanza jitihada za kumkwamisha
 
Idadi ya watu hupatikana kwa kuwahesabu,sensa..England pametokea ugaidi,ni watu gani wengi!? Kenya ugaidi kila siku,msumbiji..akina Nani wengi huko!!!?..ulisoma ili upate vyeti siyo!!!..na si kuelimika,hoja gani za kipang'ang'a unaleta hizo!!
Hao watu walioleta ugaidi kwenye hizo nchi ulizotaja ukifuatilia utagundua 90%+ wana dini moja...dini ya amani
 
Hao watu walioleta ugaidi kwenye hizo nchi ulizotaja ukifuatilia utagundua 90%+ wana dini moja...dini ya amani
Umechanganyikiwa!!!?...ulisema tz kwa kuwa hakuna matukio ya ugaidi Basi dini ya magaidi siyo wengi,nikakuuluza huko uingereza kwenye matukio ya ugaidi,magaidi ndiyo wengi!!!?..Sasa hivi unakuja na togwa gani sijui!!
 
Taja nchi moja duniani ambayo wavaa kanzu ni wengi na nchi inaenda kwa demokrasia na amani
 
Naamini performance ya shule inawavuta wazazi kupeleka watoto shule ya kikristu. Upande wa pili imani ya dini wanaona watoto watabadirishwa imani.
 
Kwanza ulitakiwa kuelewa nini maana ya sheria then ukaisoma sheria ya Elimu Zanzibar inasema nini kuhusu unachozungumza. Naona unahisi sheria ya Elimu Tanzania ndiyo inatumika ulimwenguni kote.

Ungekuwa muungwana aidha ungemshauri mmiliki afuate sheria ya Zanzibar au Afunge shule aende mahali pengine.

Pili wewe unavyojua usajili wa hiyo shule ni Seminary au binafsi kawaida? Maana hata huku bara ikiwa usajili wako wa shule siyo seminary (hata kama inamilikiwa na sheikh au mchungaji) si lazima mtu kulazimishwa kusali.

Ndiyo maana unaona kuna shule nyingi zinamilikiwa na taasisi za dini lakini mtu wa dini yoyote anasoma na anaruhusiwa kutekeleza ibada zake.
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Zanzibar kuna ust-Arabu hivyo wasiotaka kufuata masharti ya shule hiyo wasikanyage hapo kwani hawaoni shule za Arabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…