Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Ingekuwa kila.raisi kafanya kama hivi, tungekuwa na majiji matano sasa tayari! Msongamano Dar ungepunguwa. Watu wa Lake Victoria hamieni Chato sasa.
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
Chimwaga wepesi sana. Wakisema kura ya wazi tu wote kimya.
 
Pumbavu sana
Ninyi si ndio wapiga makofi na kupitisha sheria za hovyo kumpa falme?
 
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa

''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia kifua, hata hao wanaojipendekeza kuanzisha anzisha mambo yasiyo na msingi, Suala la Uwanja haukukamilika inavyopaswa, Leo wanazindua Burigi, Kesho kutwa sijui nini, kwa taarifa tu ni kwamba bado kuna mengi sana, vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?
Kuna Suala la Kuanza kwa MV chato Haitafika mwakani bila kuzinduliwa, Je wanachato wana mahitaji yao kamili mengine kama Madawa, na huduma za kijamii mpaka kuanzisha mbuga, Mara airport, Mara Meli, Kwanini chato?''

Mwisho wa kunukuu


View attachment 1150003

Britanicca
Pia bahari ataihamishia chato.Hapo nafikiri atakuwa amemaliza kazi.Ubinafsi wa hali ya juu.
 
Natafuta kiwanja Chato wadau.
Ingia website ya NHC tu wasikiana nao kwa Simi ,email au Soma maelezo yao au nenda ofisi yeyote ya NHC popote Tanzania watakuelekeze waambie unataka kiwanja Chato .NHC Wana ofisi nchi nzima.
 
Uwanja wa ndege ,bandari ,kiwanja cha Moira ,hospitabenkil ya rufaa ,mbuga burigi chato ,benki vyenyewe pesa ya kujenga chato IPO ila za kuwaongeza mishahara watumishi hakuna hivi hii inaingia akili ni kweli?
 
Back
Top Bottom