Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa iliyonyesha Dar es salaam asubuhi ya kuamkia Leo tarehe 20.01.2024 imeleta madhara makubwa katika miundombinu,nyumba za watu kubomoka na magari kusombwa na maji kama picha na video zinavyoonyesha hapa

Tuendelee kumuomba Mungu atunusuru na majanga haya ya mvua
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Jua lilikuwa serious na kazi yake aisee
 
Kufa lazima tu. Funza nao wanamlilia njaa.
 
Mvua na jua tunavihitaji kwa kiasi
 
Pia ningeshauri kuwe na jumuiya za kina baba, kuna saa unaenda jumuiya kusali, viongozi ni wanawake , baada na kabla ya sala ni umbea kukutana na ukike ukike mwingi , kwa mwanaume jumuiya ijayo kwenda ni ngumu.
Wanaume wenyewe wakwenda jumuiya wapo wapi? Bila wanawake hakuna kanisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…