Madhara mengi ni kutokana na mipango miji mibovu, na sioni suluhu kwasababu wahusika walio shindwa wwnajiandaa kwa uchaguzi mkuu hawataki wahudhi wote walio jenga ktk njia za maji na mabonde.Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .
Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na ngurumo ya radi.😀😀😀..... yaani kha! Wanaogopa sana lile libombastic sound baada ya radi kumulika.
Tanesco aibu sana kwa haya mnayotufanyia.
============