Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Sijawahi kuogopa radi za Dar mpaka nilipofika mkoa fedenge ilipiga nikajikuta uvunguni aroo nilijua bati limetoka lote. Ile ilikua sio radi bwana vigagula wanatoa na dedication humohumo wanaongezea mlio

[emoji28][emoji28]
 
Zilikuwa nderemo kweli kweli.


Vifaranga vyangu vya kienyeji vimelowana na kupoteza uhai. Banda langu(lao) la nyavu limepitisha mvua na kumefurika, wakati huo kutoka nje kuwaokoa ilikuwa mbinde, aisee wacha tu

Componded na hizi waka zima za Tanesco na maangalizo ya tma nimeshindwa kuwawashia taa za joto wengine waliobaki manake na banda la jenereta nalo lilijaa maji na hivyo kushindwa kabisa kuwasha umeme.


Nimeambiwa ndio Tabia ya Nchi? kama sio Tabia nchi.

Ilaaniwe hii tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…