rastar mjeshi
Senior Member
- Aug 15, 2023
- 193
- 253
Vigagula tena [emoji16]Sijawahi kuogopa radi za Dar mpaka nilipofika mkoa fedenge ilipiga nikajikuta uvunguni aroo nilijua bati limetoka lote. Ile ilikua sio radi bwana vigagula wanatoa na dedication humohumo wanaongezea mlio