Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Watu wa dar acheni uoga [emoji1] [emoji1787]
IMG_20240121_113943.jpg



Watu wa Dar,Rudini mikoani,mji umeshajaa huo,ona mnavoteseka ili uonekane tu unaishi Dar
 
Mnatushambulia tunaishi dar lakini dar pamoja na kadhia zote itabaki kua mji wenye ubora mwingi wa maisha kuliko pote hapa Tanzania.
Nimeishi na kutembea mikoa kadhaa na miji yake lakini pamoja na kero zote afadhali ya hapa dar mara elfu.
 
Back
Top Bottom