Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mnatushambulia tunaishi dar lakini dar pamoja na kadhia zote itabaki kua mji wenye ubora mwingi wa maisha kuliko pote hapa Tanzania.
Nimeishi na kutembea mikoa kadhaa na miji yake lakini pamoja na kero zote afadhali ya hapa dar mara elfu.
 
Kwa kujinafasi zaidi
Hatari sana..... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sasa hapo ukute hizo nyumba kuna ambazo ni selfcontainer ndani vyoo vya shimo....

Madogo wanaokoteza vimelea kwa raha zao😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…