Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua ikinyesha kwa muda wa dakika 20 hadi 40 halafu ikate ni sawa.

Kuna ile ya manyunyu inanyesha siku nzima.... ardhi inalowa hadi inakuwa tepetepe.

Kuna inayonyesha heavy masaa 3 au zaidi bila kukata, hiyo ni balaa.

Chochote kikizidi kipimo ni shida.
Na vile imeonyesha mfululizo tokea mwezi wa kumi na moja ardhi imeshinda maji vya kutosha, sasa hivi hamna tena utamu wa mvua ni kero , lakini inaheri kuliko jua
 
Back
Top Bottom