Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Gari mimi nitoe wapi. Ila kabla ya kununua gari nihame huku uchochoroni nikapange sehemu nzuri. Huku hata nikiwa na gari haifiki ninapokaa inabidi niipack petrol station kulee ndio nitembee kama dkk 10 niingie nyumbani😂
Una jua kutusanifu! Wewe una gari na una kaa kwako🤣🤣
Ila kwako ni kwako tu hata kama gari unapack nusu km.
 
Kwa mvua hii wale wakatoliki wenzangu jumuiya iahirishwe, mtasali jumamosi ijayo inshallah kwa ambaye tulikuwa tusalo leo
Huu utaratibu wa jumuiya ungebadilishwa bwana walao kusali jioni, wakati na toka kuna familia ilikua inaandaa mahali pa kusali vua ikaja ikabidi wahamie sebuleni kuandaa waumini waje wasali.
 
Aisee! Nilijua mi peke yangu ndo nimeshindwa kulala mana mbali na ngurumo na radi, upepo nao ulikuwa mkali sana.

Huku kwetu madongo kuinama mpaka sasa bado mvua inanyesha japo sio kubwa sana na ngurumo zinaendelea kama kawa.
 
Aisee! Nilijua mi peke yangu ndo nimeshindwa kulala mana mbali na ngurumo na radi, upepo nao ulikuwa mkali sana.

Huku kwetu madongo kuinama mpaka sasa bado mvua inanyesha japo sio kubwa sana na ngurumo zinaendelea kama kawa.
Pole, ni kubwa sana hamna mwenye ujasiri wa kundelea kubaki kitandani na wingi wa huu mvua
 
Wakazi wa dar mnafirahisha, mvua kidogo mnafungua thread, huku kugoma radi zinapigwa mpaka miti inakauka lakini fresh na watu hawawezi wala nini? Lakini poleni maana kwa dar mvua kunyesha sio kawaida.
Mvua Dar kunyesha sio kawaida!Dar na mikoa mingine ya pwani ndio inapata mvua hata kiangazi,ndio maana huwezi kukuta Dar mtu kaanika mahindi kiangazi kama Dodoma ambapo mvua ikienda imeenda jumla,shida ya Dar ni joto kali,ndio maana huwa sipapendi...
 
Jumamosi hii wanaoenda kazini wanalaani hatari, ila ambao hawaendi kazini ni kulala hadi njaa iume kisawasawa ndo waamke kupika.

Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, pole kwa wanaoishi maeneo ya chini ya usawa wa bahari maana mafuriko hayatawaacha salama.

Huwa sielewi kwanini Tanesco hawapatani na mvua, ikinyesha tuu umeme usipokatika basi hilo eneo limebahatika.

Poleni kwa yote, ndo maisha.
Nguzo zikidondoka kwenye maji ni maafa kwa watakaokanyaga hayo maji yanapitisha umeme.
 
Uwe una vaa headphone hutazisikia sana.
Mimi ni muoga wa radi kuliko kitu chochote ilikua radi zikianza usingizi unakata mazima ntatoa macho mpaka ziishe. Sasa nikanunua ear plugs ambazo kukiwa na radi nazipachika masikioni zinakata sauti sisikii chochote! Balaa lake ni kwamba unalala usingizi kama mfu yaani husikii chochote hata nyumba ikiungua we lazima utafia humo 🙁
 
Back
Top Bottom