Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Uje unitembelee my Friend hata kesho basi. Pengine unaweza guswa kwa chochote.

Hivi Pendaelli unaishi wapi? Sijui kwanini huwa napata hisia kama nakujua nje ya hapa
Yawezekana lakini ila sina hakika sana kama unanijua ,mimi naishi dar japo nje kidogo.
Nipe mwaliko rasmi nije nishuhidie uwongo wako🤣
 
Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.

Soon kunakucha.

Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .

Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na ngurumo ya radi.😀😀😀..... yaani kha! Wanaogopa sana lile libombastic sound baada ya radi kumulika.

Tanesco aibu sana kwa haya mnayotufanyia.
Eti unawalinda na radi🤣
Sema unawajaza imani kuwa wewe ndio baba lao na ndiye protective figure juu yao hakuna cha kuwadhuru Ila huna uwezo wa kuizuia radi once it strikes your house hold.
 
Gari mimi nitoe wapi. Ila kabla ya kununua gari nihame huku uchochoroni nikapange sehemu nzuri. Huku hata nikiwa na gari haifiki ninapokaa inabidi niipack petrol station kulee ndio nitembee kama dkk 10 niingie nyumbani[emoji23]
Jamaa yako mwenye bipolar akiona hii anachukua screenshot. Happy new year best
 
Mvua Dar kunyesha sio kawaida!Dar na mikoa mingine ya pwani ndio inapata mvua hata kiangazi,ndio maana huwezi kukuta Dar mtu kaanika mahindi kiangazi kama Dodoma ambapo mvua ikienda imeenda jumla,shida ya Dar ni joto kali,ndio maana huwa sipapendi...
Usiku wa kuamkia leo ulikua na joto sana , leo asubuhi mvua na baridi, mchana joto, dar changamoto sana.
 
Back
Top Bottom