Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Nyoooo

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dah vipochi manyoya vyote vipo kwenye maji...mafuriko yana hila kwa kweli.
Dar ingepata mvua ukubwa wanaopata huku basi watu wangeogelea kujikuta wengine wako Morogoro. Hii ya Dar cha mtoto
 
Pole sana mkuu lakini siku nyingine unatakiwa kujiongeza sio kukomaa na Gari. Ungeamua kwenda hapo airport ukapaki na kuondoka na boda kwenda home. Leo ungeenda asubuhi kuchukua gari. Ungelipishwa shs 2000 kwa saa. Ambayo si kubwa ukilinganisha na adha iliyopita barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…