Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Ungepanda Ndege to London ungekuwa umeshafika na kupata Kahawa. Pole MkuuKutoka Samora str to Pugu. Unatumia saa 13 self Drive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungepanda Ndege to London ungekuwa umeshafika na kupata Kahawa. Pole MkuuKutoka Samora str to Pugu. Unatumia saa 13 self Drive.
HujaelewekaFoleni ya leo balaa. Ninapoandika thread hii bado niko kwenye foleni Airport
Leo ni balaa for sure. Naona Traffic wamesusa leo.
Tunatekeleza kwa kishindo...hawajachoka wamelemewaFoleni ya leo balaa. Ninapoandika thread hii bado niko kwenye foleni Airport
Leo ni balaa for sure. Naona Traffic wamesusa leo.
Hata muda huu hamjafika? Poleni sanaLakini leo imekuwaje na hii foleni? Kimsingi tumelala nje ya Nyumba zetu. Barabara nyingi zimezidiwa na Magari.
Mkuu Kwani vikiliongelea ndo nini kunatokea?Na hutosikia vyombo vya habari kesho vikiongelea hii
🙊🙊🙊 😂Umehamia shamba eh! Hongera sana
🙊🙊🙊
Usirudi kabisaJamani nimekuchukia DSM..tangu niondoke 2016.. sitaki hata kurudi
Hiyo ni 📰 news jombaaa, unajua Habari ni nini?Mkuu Kwani vikiliongelea ndo nini kunatokea?
NyooooKwahiyo kwa hizo hesabu, kwa mwezi utakuwa unakunywa pipa mbili za maji, kwa mwaka unapiga kama pipa 25 hivi!!
Ungeanzisha kilimo cha umwagiliaji basi, manake unaamka zako saa 11 alfajiri, unapiga ndoo ya kwanza, ikifika saa 12 unapiga ndoo ya pili, kisha huyooo shambani; na ukifika huko unajitapishia kwenye nyanya zako!
Hujatengeneza swimming pool tumboniInyeshe tu
Si kwa joto lile[emoji26]
Jana usiku nimekunywa ndoo nzima ya maji kwa lisaa tu
baada ya mvua watatabiri na kupostTMA wamefanyiwa ziara ya kushtukiza na mvua
Dar ingepata mvua ukubwa wanaopata huku basi watu wangeogelea kujikuta wengine wako Morogoro. Hii ya Dar cha mtotoDah vipochi manyoya vyote vipo kwenye maji...mafuriko yana hila kwa kweli.
Pole sana!Kutoka Samora str to Pugu. Unatumia saa 13 self Drive.
umejua ujuiFoleni ya leo balaa. Ninapoandika thread hii bado niko kwenye foleni Airport
Leo ni balaa for sure. Naona Traffic wamesusa leo.
Ni majitu ya ajabu sana wala usiwawaze...usisahau wengi ni failuresNa hutosikia vyombo vya habari kesho vikiongelea hii