Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Jamani hawa wakubwa wana miladi yao ya kuuza solar na majenereta sasa mnataka umeme alafu hiyo mizigo yao wakauzie wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichekesho kweli. Hii nchi Mungu aingilie kati tu. Inatia hasira sana.Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Chizi wewe! LolsYanaenda kusikojulikana.
Ova
Huo ndiyo ukweli. Sasa kipi unachokipinga hapo? Yaani unataka mafuriko yanayotokea huko Tanga au Dar es Salaam, maji hayo yakajaze mabwawa ya Mtera na Kidato?Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Yanaweza kupiga u- turn tu kwenda huko😁Huo ndiyo ukweli. Sasa kipi unachokipinga hapo? Yaani unataka mafuriko yanayotokea huko Tanga au Dar es Salaam, maji hayo yakajaze mabwawa ya Mtera na Kidato?
Naah pops you are better than thisHoja yake inaeleweka, mvua inanyesha pwani, flow ya maji haikutani na hayo mabwawa as maji yote yanaelekea baharini, its a fact!
Eeh Mungu Baba. Naomba nisamehe kwani nimeshamtamkia kimoyomoyo maneno yasiyo staha huyu MkurugenziHii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Hakuna shirika la kipumbavu kama hili, yaani wanataka kutuambia toka mwaka 1961 mpaka leo hawajapata suluhisho lolote la maji kwenda mabwawani ili kufua umeme kweli? Kwa kweli serikali ya CCM ndiyo janga kubwa kuwahi tokea hapa nchini mwetu. Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, mito, mabwawa, maziwa na bahari yaani mpaka leo serikali inashindwa kweli kuweka watu wenye weledi hapo Tanesco mnatuwekea vilaza wasioishiwa visingizio vya kitoto / kijinga kila kukicha. Mama Samia na serikali yako, mnatupeleka wapi jamani?Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Kwanini wasiwaombe Dawasco?Hakuna shirika la kipumbavu kama hili, yaani wanataka kutuambia toka mwaka 1961 mpaka leo hawajapata suluhisho lolote la maji kwenda mabwawani ili kufua umeme kweli? Kwa kweli serikali ya CCM ndiyo janga kubwa kuwahi tokea hapa nchini mwetu. Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, mito, mabwawa, maziwa na bahari yaani mpaka leo serikali inashindwa kweli kuweka watu wenye weledi hapo Tanesco mnatuwekea vilaza wasioishiwa visingizio vya kitoto / kijinga kila kukicha. Mama Samia na serikali yako, mnatupeleka wapi jamani?
Ubovu wa mitamboImebidi nizime na muziki niliokuwa nausikiliza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . Kwani tuliambiwa huu mgao ni sababu ya nini hasaa!?
MTO msimbaziSasa yanaenda wapi hayo maji...?
Maharage na kipara wanataka Tanesco ibinafsishwe Kwa maslahi yao.. mark my wordsHii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Uzuri code zote aliwapa..R.I.P Magufuli
Kwenye kipindi chako hatukuwahi kusikia huu upuuzi
Nikikumbuka tulivyokuwa tunaimbishwa 2014 kama watoto wadogo kuhusu umeme wa gas, na hizo story za Sasa acha kabisa. Tuliambiwa Bomba la gas likifika tu Dar, mgao wa umeme utakuwa ni historia. Leo hii nikisikia kisingizio cha mvua nachoka kabisa!Tatizo nchi haina upinzani madhubuti wa kuipa nchi
Ile porojo ya kuwa Bomba la gas ikifika Dar mgao wa umeme utakuwa ni historia mmeisahau? Au gas nayo inataka mvua?!Huo ndiyo ukweli. Sasa kipi unachokipinga hapo? Yaani unataka mafuriko yanayotokea huko Tanga au Dar es Salaam, maji hayo yakajaze mabwawa ya Mtera na Kidato?
Mkuu umesahau, walisema tatizo la umeme nchi hii ni mvua kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wakahamia kwenye gas na hadithi tamu tamu. Leo hii hakuna anayezungumzia umeme wa gas tena. Na ukiuliza hilo wanapiga chenga ya hatari. Watoto wa mjini wanasema wamejizima data.Hakuna shirika la kipumbavu kama hili, yaani wanataka kutuambia toka mwaka 1961 mpaka leo hawajapata suluhisho lolote la maji kwenda mabwawani ili kufua umeme kweli? Kwa kweli serikali ya CCM ndiyo janga kubwa kuwahi tokea hapa nchini mwetu. Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, mito, mabwawa, maziwa na bahari yaani mpaka leo serikali inashindwa kweli kuweka watu wenye weledi hapo Tanesco mnatuwekea vilaza wasioishiwa visingizio vya kitoto / kijinga kila kukicha. Mama Samia na serikali yako, mnatupeleka wapi jamani?
SIO kweli acheni kushabikia Wahuni .tanesco wako sawa shida ni uwelewa kwa watanzania nafikiri