Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Vichekesho kweli. Hii nchi Mungu aingilie kati tu. Inatia hasira sana.
 
Huo ndiyo ukweli. Sasa kipi unachokipinga hapo? Yaani unataka mafuriko yanayotokea huko Tanga au Dar es Salaam, maji hayo yakajaze mabwawa ya Mtera na Kidato?
 
Yanaweza kupiga u- turn tu kwenda huko😁
 
Hoja yake inaeleweka, mvua inanyesha pwani, flow ya maji haikutani na hayo mabwawa as maji yote yanaelekea baharini, its a fact!
Naah pops you are better than this
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Eeh Mungu Baba. Naomba nisamehe kwani nimeshamtamkia kimoyomoyo maneno yasiyo staha huyu Mkurugenzi
 
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.

20231125_012628.jpg
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Hakuna shirika la kipumbavu kama hili, yaani wanataka kutuambia toka mwaka 1961 mpaka leo hawajapata suluhisho lolote la maji kwenda mabwawani ili kufua umeme kweli? Kwa kweli serikali ya CCM ndiyo janga kubwa kuwahi tokea hapa nchini mwetu. Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, mito, mabwawa, maziwa na bahari yaani mpaka leo serikali inashindwa kweli kuweka watu wenye weledi hapo Tanesco mnatuwekea vilaza wasioishiwa visingizio vya kitoto / kijinga kila kukicha. Mama Samia na serikali yako, mnatupeleka wapi jamani?
 
Kwanini wasiwaombe Dawasco?
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Maharage na kipara wanataka Tanesco ibinafsishwe Kwa maslahi yao.. mark my words

Kutoka Kwao Ni geresha tu
 
Hakuna shirika la kipumbavu kama hili, yaani wanataka kutuambia toka mwaka 1961 mpaka leo hawajapata suluhisho lolote la maji kwenda mabwawani ili kufua umeme kweli? Kwa kweli serikali ya CCM ndiyo janga kubwa kuwahi tokea hapa nchini mwetu. Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, mito, mabwawa, maziwa na bahari yaani mpaka leo serikali inashindwa kweli kuweka watu wenye weledi hapo Tanesco mnatuwekea vilaza wasioishiwa visingizio vya kitoto / kijinga kila kukicha. Mama Samia na serikali yako, mnatupeleka wapi jamani?
Mkuu umesahau, walisema tatizo la umeme nchi hii ni mvua kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wakahamia kwenye gas na hadithi tamu tamu. Leo hii hakuna anayezungumzia umeme wa gas tena. Na ukiuliza hilo wanapiga chenga ya hatari. Watoto wa mjini wanasema wamejizima data.
Cc Tlaatlaah
 
tanesco wako sawa shida ni uwelewa kwa watanzania nafikiri
SIO kweli acheni kushabikia Wahuni .
Nchi inahujumiwa Hii.
Uzalendo umekwisha watu wanalinda maslahi na Cheo cha MTU mmoja na familia yake .
Taifa linakosa uelekeo. Uzalendo umezikwa rasmi Awamu ya Sita.

Mvua zinanyesha Karibu nchi Nzima.
Morogoro Mvua inanyesha nyingi sana.

Tatizo hamtaki kukubali kuwa kuna udhaifu Mkubwa sana Wa kusimamia miradi na wizara zake zote.
Watu wameachiwa wake Kwa urefu Wa kamba Zao.
Kuna watu wameagiza makontena ya Jenereta , sola panel, betri za sola, power Benki , Haircuting machine za kuchaji n.k.
Na bado IPTL na washirika wake wanataka kuuza umeme Wa mchongo.
Walioko nyuma ya Hawa matajiri na wafanyabiashara Wa vifaa hivyo ni wahusika wakuu.

Hawa Wahuni na washirika Wao wasipotolewa madarakani 2025 nchi itagauka kuwa pango la wanayanganyi Kama Kongo . Kule Kongo Matajiri na wawekezaji majizi hayajali kitu chochote zaidi ya biashara Zao na kupora rasilimali za Kongo na kwenda kula Bata París na Dubai. Wakongoman zaidí ya mili 100 ni maskini Wa kutupwa Kisa Ni wawekezaji wezi wanaoshirikiana na wanasiasa.

JPM alipandikiza watu Kila Idara Kwa ajili ya kutoa Taarifa za wezi na Wahujumu uchumi Wa mashirika ya umma na Mali za umma.
Leo MTU akitoa Taarifa anashughulikiwa yeye na kuonekana Ana roho mbaya na wivu. Anaambiwa, "Tafuta hela Acha kufuatilia MAISHA ya watu." Unategemea Nani ataacha kuhujumu kulingana na kamba yake. Kamba ya Tanesko ndiyo huyó.
Alikuja Yule Mhuni Akasema tatizo ni miundombinu akilenga kuagiza nguzo Afrika Kusini.

Watu wanafungulia Maji wanaposikia Kamati ya Bunge inakagua mabwawa Ili tu Bunge liidhinishe fedha Kwa ajili ya Kununua umeme Kwa makampuni Binafsi watu wapige pesa. No one cares.
Tumeambia Kuna Naibu Wazuri mkuu lakini kama Bosi Hana Nia ya dhati ni kupotea fedha za umma tu kuhudumia ofisi isiyoeleweka kikatiba.
Naibu Wazuri mkuu Hana power ya kikatiba kutoa maamuzi dhidi ya Idara za kiuchunguzi na kupewa Taarifa za hujuma zinazofanyiaka .
Ni Hata kauli zake Sasa ni Za kuwafunga mdomo watoa Taarifa.
Serikali imegeuka na kuwa kama MAISHA ya faragha za watu. Yaani mtu Akiona watu wanafanya hujuma ya Mali za umma anatakiwa akae kimya kama unavyokua pale MTU anapoona mke au mume Wa MTU anachepuka . Anakaa kimya kulinda ndoa za watu. Imekua hivyo Kwa serikali ya awamu hii ukitoa Taarifa ya wale wanaohujumu nchi unaitwa mchonganisha ,mwenye wivu na unafuatilia MAISHA ya watu na kuchafua watu.Unaambiwa pambana na Hali Yako.

Kwa Sasa serikali hili ya Awamu ya Sita MTU msafi ni Yule anayejua kuvaa vizuri na kupendeza na kutembelea gari la Bei kubwa na kujijenga yeye Binafsi .
Kwa hiyo Kila MTU anajitahidi kufikia Huo usafi kulingana na Awamu ya Sita.
Hakuna Tena usafi Wa kimaadili ndani ya ofisi za umma.
Ama kweli nchi imevamiwa na Wageni Toka sayari ya Mars.
 
Back
Top Bottom