Siyo paka na panya, bali maslahi yanatafutwa.Trump na Zelenskyy ni paka na panya
Kama una akili utaelewa….Sasa marekani anahusikaje?
Je ni nani aliyekaribisha majeshi ya Nato kuja karibu na Russia??? Huu ni mgogoro wa kijinga sana na watu tumependikizwa ujinga ujingaHuu ni mtazamo wako. Mfano wako wa ushoga ni irrelevant.
Hivi aliyevuka mipaka na kumshambulia nwenzie ni nani?
Ukiitizama utagundua kuwa jamaa walijiandaa kumvuruga, kumshusha, kumwambia bila wao yeye hawezi kuwe exist. Kisha wamwelekeze kufanya wanachokitaka.Nawashauri Watanzania ambao hawajaitizama Video yote, mwanzo mpaka mwisho, waitizame.
Form your own opinion and perspective.
Hata hivyo Watanzania mtagundua tunalishwa matango pori na propaganda za mrengo wa kulia na wakuzaji wa himaya za Wazungu. White Supremacist.
Tangu mwanzo wa Ubinadamu hiyo ndiyo ajenda mkuu.Nawashauri Watanzania ambao hawajaitizama Video yote, mwanzo mpaka mwisho, waitizame.
Form your own opinion and perspective.
Hata hivyo Watanzania mtagundua tunalishwa matango pori na propaganda za mrengo wa kulia na wakuzaji wa himaya za Wazungu. White Supremacist.
Very true Mkulu. Yule mwandishi wa kumuuliza "kwanini hujavaa suti" ndie aliyechokonoa jazba zake.Ukiitizama utagundua kuwa jamaa walijiandaa kumvuruga, kumshusha, kumwambia bila wao yeye hawezi kuwe exist. Kisha wamwelekeze kufanya wanachokitaka.
Amewachefua alipowaambia future ya Marekani inaweza kuwa mbaya vilevile.Kama pamoja na misaada ya mabilion ya $ kutoka Marekani bado Urusi ilikuwa inateka maeneo vipi hujiulizi hiyo misaada ikikatwa?
Kwa mtazamo wako mimi nishoga mkuu. Ninasisitiza tena ktkt mjadala huu issue ya ushoga ni irrelevant x1000 na zaidi. Ushoga nauchukia lkn si kwa kuutaja hata pasipostahili kama ufanyavyo.Wewe utakuwa shoga mkuu. Je ni nani aliyekaribisha majeshi ya Nato kuja karibu na Russia??? Huu ni mgogoro wa kijinga sana na watu mmependikizwa ujinga ujinga
inategemea unaangalia kwa upande gani.Tangu mwanzo wa Ubinadamu hiyo ndiyo ajenda mkuu.
Bonge la summary🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maigizo 🍿🍿
Watamlinda ?? Maana sio wanaishia kumjaza upepo tu 🤣Upo uwezekano Zelensky kaagizwa na nchi za EU kukataa matakwa ya Trump...nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa EU NDIYO WAMEMPA MWONGOZO ZELENSKY WA KUFANYA HIVYO.
Every media trend is a psychological operation....Bonge la summary🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah samahani sana bosi mkubwa naenda kufuta maelezo yangu. Sema mi nimeishi na hao jamaa, kiukweli wazungu wamekuwa wajinga sana. Yaani mfano ikitokea kitu eti wanataka kila mtu akubaliane kama wanavyoona wao. Hebu cheki wanalazimisha eti watoto wadogo wabadili jinsia hahah. Nisamehe sana bosiKwa mtazamo wako mimi nishoga mkuu. Ninasisitiza tena ktkt mjadala huu issue ya ushoga ni irrelevant x1000 na zaidi. Ushoga nauchukia lkn si kwa kuutaja hata pasipostahili kama ufanyavyo.
Back to topic. Russia anawajibika kulinda mipaka yake, majeshi gani ya nato yalipelekwa pale?. Krimea ilichukuliwa Ukraine hakureact kwa vita, Russia akaitaka Ukraine yote ndo Ukraine akaamuwa kujipigania. Isa nyie ambao mnataka mwenye nguvu ammeze dhaifu ni dunia ya namna gani mnayoitaka?
.😂😂😂Every media trend is a psychological operation....
Haya maneno ni sahihi kabisaaNimemuona Huruma Huyu mtu
Jamaa kawa Kama Jibwa fulani
kakosa Heshima wanamuona kama Jinga Fulani hivi
umasikini Mbaya sana
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895536558452904031?t=p-D0Oe1zDp7MzwMdxDzu_w&s=19
Absolutely.....😂😂😂
🎶🎵 ...and another one🤜🤛
..some but not everyone of them trends.
And some as you pointed out, are created solely for that purpose.