Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Wamarekani wanaon Trump anawafaa kuwa rais kwa mara ya pili ila ww msambaa wa bumbuli unaona Trump hafai kuwa Rais wa Us.
 
Wamarekani wanaon Trump anawafaa kuwa rais kwa mara ya pili ila ww msambaa wa bumbuli unaona Trump hafai kuwa Rais wa Us.
Yani kuna watu wanashida kwenye uwezo wa kufikiri. Wamarekani wenyw nchi yak wamechagua kwa kishindo then mbongo mmoja hiv anaona kam hawajielewi
 
Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa.
Bangi sio kitu kizuri...tujiepushe na matumizi ya bangi na aina zingine za madawa ya kulevya kwani yanaharibu akili.
 
Zele ni mwamba sana! Trump mshamba tu hatamaliza miaka 4 hapo! mark my word
 

Wewe unavyoona yale yalikuwa ni kikao Cha Majadiliano ya kidiplomasia kati ya MaRais wa Nchi hiyo Mbili tofaufi au ilikuwa ni ugomvi wa Walevi wa pombe katika Klabu ya pombe za kienyeji?
 
Hapa umetoa boko aisee. Putin hana haja na ardhi ya mtu. Kinachoitokea Ukraine ni kitendo chake cha kutaka kumletea Russia adui sebuleni kwake. Hayo mengine uliyoandika ni mihemuko yako tu ya kuwa pro-west.
Kwahiyo mkuu mtaani kwako jirani yako ana mamlaka ya kukupangia nani anapaswa kuwa rafiki yako na nani hapaswi?
 
Unajifurahisha mkuu.Yaani Ukrainians are proud of a man who has led to the slaughter of 1 million plus Ukrainian soldiers and flight of 20 million plus Ukrainians?That surely can't be.
Mkuu what was he supposed to do? Bend over to Putin and handover Ukraine to him?
 
baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
 
Its sad jinsi wanavyoionyesha dunia kuwa wameshikilia hatma ya wananchi wa Ukraine. No free lunch huu msemo unatakiwa kutiliwa mkazo na kila mwenye akili timamu
Haswa
Tena waafrika wengi hawajielewi
Wao wanadhalilika na mwisho wa siku wanagawana wao

Haiwezekani miaka 70 unapewa tu za kujikimu
Ila Trump ana majibu makali sana anawafaa wanaoenda kuomba
Na EU wanaanza kukata misaada na kuwekeza kwenye Ulinzi zaidi
 
Hapa ndipo linapokuja swali muhimu: Kwa nini ulipigana wakati hauna nguvu ya kupigana?

Ameshaiharibu nchi kwa sasa!

Na ndiyo maana watu wanamuona ni mjinga, hawamheshimu.
Mtu anakuja nyumbani kwako anajichagulia kimabavu chumba hiki na hiki ni vyangu, baba mwenye nyumba utakubali hilo?
 
Hakuna nchi za mabeberu wasioangalia maslahi yao
Angalia mazungumzo ya Trump na Kier Starmer yalikuwaje
Hata yeye kabamizwa sana
EU Wana maslahi makubwa sana na wameingiza hela na silaha nyingi sana
 
Nimeshangazwa na maoni ya baadhi ya members ni kama source ya hii vita imekuwa twisted. Huyo Russia yeye kashachukua part ya reserve ya hayo wanayogombea akina Trump. Na tatizo la hawa powerful countries hujui nani yuko na nani kwa hiyo kutumbukia shimoni ni sekunde tuu. Binafsi simlaum Zelensky sababu alivamiwa. Na Putin kasema hii vita haitakwisha bali itapumzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…