Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Nadhani Trump alimchukulia poa Yule jamaa kwa kumuona hamnazo kwasababu anategema Msaada wa US ila amekuwa surprised na alichokutana nacho.
 
Kwa style hii inaonekana kama hakuna watu wa press,viongozi wetu wa Africa huwa wanakula hata makofi ila inabakia kuwa siri tu...
 
Hatari sana utajiri, American citizen, white supremacy vyote vinaunda jeuri ndani ya kichwa cha Trump so hana muda wa kusikiliza anataka ufuate maelekezo. Zelensky yuko emotional anataka aeleze previous deals zilivo fell na kumlaani Putin, Trump anataka amwage signature ili waanze kumpelemba Putin and I'm sure wataenda kwa step sio kumsasambua kama huyu wa Ukraine. Halafu pia language barrier huwezi shindana na huyo Rubio anaongea kama kameza 💿. Anakwambia the only person on planet anaweza kuleta piece Ukraine ni mmoja nae ni Trump dharau iliyoje. Uk kwa unafki atakuwa pembeni anaangalia uelekeo wa hili saga huku anaendelea na mambo yake.
 
Aliyekosa ustaarabu ni Zelensky au Trump? Kwangu naona Zelensky aliji control sana. Mitandaoni watu wanamponda sana Trump kwa hii issue.
 
Hapa ndipo linapokuja swali muhimu: Kwa nini ulipigana wakati hauna nguvu ya kupigana?

Ameshaiharibu nchi kwa sasa!

Na ndiyo maana watu wanamuona ni mjinga, hawamheshimu.
Wewe ndio unayemuona mjinga. Mwizi akiingia nyumbani kwako anataka kumbaka hata mkeo utamwangalia tu kwa sababu ana silaha kukushinda?
 
baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
Tatizo ProNATO mnajitoa akili. Marekani kukataa Russia kuweka silaha pale Cuba mnaona sawa ila Russia kukataa Ukraine isijiunge NATO mnaoana Ukraine anaingiliwa uhuru wake na kunyanyaswa.
Alichotakiwa kufanya Zelensky kilikuwa kile ambacho kimetanywa na maraisi wote wa Ukraine waliontangulia, ambacho ni kukaa mbali na NATO.
Narudia tena UKRAINE INGEKAA MBALI NA NATO Crimea isingemegwa wala hii vita ya sasa isingetokea.
 
Atakiwasha vipi sasa endapo mfadhili wake mkuu ataamua kumnyima misaada ujue comments zenu kuna wakati zina chekesha sana 🤣🤣🤣
Kwanini zele kaondoka katika kikao inamaana angekuwa anafaidika na hii dili asingetoka hivyo akubali kupambana mpaka mwisho ashindwe uwanjani sio kulazimishwa deal ambayo itamnyonya Ukraine siku zote kisa msaada ambao sio msaada ni mkopo wa kihuni
 
The continuous conflict in Ukraine is easy evidence of that. Are you aware of Putin's motivations for attacking Ukraine?
You mean Ukrainians are not allowed to choose who to be friends with only because of insecure neighbour?
 
Trump alijisahau alijua anaongea mafisadi ya Africa
 
Cuba hakuwa anafikiria tu kuweka silaha za Urusi bali alishaziweka, tofauti na Ukraine ambae alikuwa anawaza tu kujiunga na NATO. US haikuivamia Cuba bali Urusi imeivamia Ukraine. Hizi ni tofauti 2 kubwa.
 
Well so are the african presidents too, selected not elected. But circle it doesnt end there.
But there is more, shed more light?
you ought to realize that those presidents serve their real owners, who chose them rather than their constituents. They are able to do anything, including instigate conflicts for the gain of their owners, who profit from the production of weapons.
 
You mean Ukrainians are not allowed to choose who to be friends with only because of insecure neighbour?
They are free to choose, but not in the manner that they do. You should also be aware of the number of biolabs that have been set up in Ukraine and their effects on global health security.
 
Kwanini zele kaondoka katika kikao inamaana angekuwa anafaidika na hii dili asingetoka hivyo akubali kupambana mpaka mwisho ashindwe uwanjani sio kulazimishwa deal ambayo itamnyonya Ukraine siku zote kisa msaada ambao sio msaada ni mkopo wa kihuni
Wee jamaa so kwa akili yako namna ulivyo tizama ile clip unaamini kwamba trump na Jd vence walimuita zele kwa lengo la ku- negotiate nae kuhusu mkataba wa kumaliza vita kweli ?? Hauoni kwamba lengo lao lilikuwa ni kumdhalilisha na kuzidi kumtisha Maana kama wangekuwa na lengo hilo kweli wasinge fanya kile walichokifanya , Trump anajua kwamba hata zele akikataa kuingia mkataba ambao yeye anautaka still uwezo wa kuyachukua hayo madini anao so walicho kifanya ni kumdhalilisha tu Ili apate kutambua kwamba yeye sio lolote wala chochote kwao
 
Marekani alidhani Russia ingeshindwa vita, ili yeye aikalie Ukreni na kuhonyoa rasilimali zake. Ila ngoma imebuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…