Afrika ijifunge kibwebwe,tuendelee kujipanga kuiba chaguzi kwani hiyo itatuokoa,tuendelee kupiga uvivu kwani hiyo itatuokoa,tuendelee kutojituma kufanya matumizi sahihi ya rasilimali zetu kwani kwetu huo ndio ujanja,hadi tutakapo kiona kilicho mnyoa kanga manyoya.Ona hapa alivyosimangwa na kuwekwa mtu kati huko White house. Kwa mtindo huu kila nchi itataka kujidhatiti kivita. Pengine tutashuhidia hata wamiliki wa silaha za nyuklia wakiongezeka.
View: https://youtu.be/Ch0q31cfEIQ?si=osbqYAW03TSSMj40
Kazingua ama vilaza a k.a chawa wanaomlisha upepo comedian ndio wamezingua?Kazingua sana. Utafikiri wako kwenye mdahalo wa kampeni.
Trump kachukia, hakutegemea Zelensky kukubali kumpa madini.Kazingua ama vilaza a k.a chawa wanaomlisha upepo comedian ndio wamezingua?
Kwa Lugha rahisi Trump ni shakumbenga aliye kubuhuTrump hana adabu hata kidogo, haya mazungumzo siyo ya WATU wenye hadhi ya Urais, bali ni watu hasa Wanawake wanaosutana huko mitaa ya uswahilini kama vile Tandale kwa Mtogole!
Trump ameinajisi Ikulu ya Marekani
Hapa umetoa boko aisee. Putin hana haja na ardhi ya mtu. Kinachoitokea Ukraine ni kitendo chake cha kutaka kumletea Russia adui sebuleni kwake. Hayo mengine uliyoandika ni mihemuko yako tu ya kuwa pro-west.Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.
Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.
Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Hii kauli ikamtoa Nyembe Trump kwamba hauna mamlaka yakuongelea US 😂😂Zele boy bhana; amekiri yeye(Ukrein) ana matatizo, ila USA naye anayo matatizo ila hayaoni sasa hivi, atsuaona baadaye
ZELENSKY. Kumbe kajeuri😄
🤣🤣🤣 kawekwa mtu kati na wafadhili wake but still analeta ubishi ,ZELENSKY. Kumbe kajeuri😄
Wale ni wahuni sio bure 🤣🤣🤣Mnafiki na mshenzi ..Yan mnafiki na tapeli, mana trump ni tapeli tu kwaio mnafiki na tapeli wanaongoza marekani
Mpumbavu sana huyo jamaa. Alikubali kutumiwa na kina Biden ambao wamekuwa stuck kwenye zama za Cold War. Anapigana vita ambavyo vilikuwa totally avoidable. Nadhani hastahili kuendelea kuiongoza Ukraine. Ameisababishia hasara kubwa mno!Nimemuona Huruma Huyu mtu
Jamaa kawa Kama Jibwa fulani
kakosa Heshima wanamuona kama Jinga Fulani hivi
umasikini Mbaya sana
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895536558452904031?t=p-D0Oe1zDp7MzwMdxDzu_w&s=19
🤣🤣🤣At least anajitahidi hata ikiashindikana amejaribu, na wazungu ndio michezo yao. Wanesubiri ashachakazwa na mental state yake might not be at its best ndio wanataka kumpa masharti ya kuingia makubaliano ya kijambazi.
Atakiwasha vipi sasa endapo mfadhili wake mkuu ataamua kumnyima misaada ujue comments zenu kuna wakati zina chekesha sana 🤣🤣🤣Zele yuko sawa iweje anyanganywe ardhi hapo asirudi nyuma kama wanapewa madini ardhi yake irudi vinginevyo aendelee kukiwasha au itawaliwe na us na Mrusi kinguvu. Warusi nao washenzi tu ila wanaunafuu kuliko mayahudi
Hawezi kukataa wata muua kmmkKwahiyo US kayakosa hayo madini aliyohitaji kutoka Ukraine
Unajitekenya huku unacheka mwenyewe ?? 🤣🤣Katika vita haina mshindi.
Urusi kuhidumia vita zaidi ya miaka 3 hili sio jambo zuri na hakuna ushindi wowote;
Ameharibu uchumi kuhudumia vita
AMepiteza wanajeshi kibao
Silaha nyingi zimeteketezwa.
Hakuna mshindi katika vita hii
Watamponza mwenzao wakati akiwa anauliwa wao watakuwa ktk sebule zao wanakunywa cofeeUpo uwezekano Zelensky kaagizwa na nchi za EU kukataa matakwa ya Trump...nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa EU NDIYO WAMEMPA MWONGOZO ZELENSKY WA KUFANYA HIVYO.
Uko sahihi 100%Upo uwezekano Zelensky kaagizwa na nchi za EU kukataa matakwa ya Trump...nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa EU NDIYO WAMEMPA MWONGOZO ZELENSKY WA KUFANYA HIVYO.