Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Zelensiky kaonyesha umwamba sio uingie mikataba ya kipumbavu kama ya DP world ushangilie tu inatakiwa ujue manufaa ya nchi yako kwanza
 
Mwaka wa 3 kishajua atapambaba vipi
 
Ukraine haiwezi kushinda hiyo vita.

Mpaka kufikia hapa tokea vita ianze, imebebwa sana na Marekani.

Marekani akiamua kuchomoa msaada, yaliyomkuta Assad yatamkuta Zelenskyy.
Kwani Assad alikuwa anapewa msaada na marekani?
 
Kituo kinachofuata ni Taiwani lakin waarabu has saudia wakae mkao wa kula huko mbele watakuja kuchinjiwa baharini
 
Trump alimuaunderstamate jamaa wakihisi kijinga litapewa tu mkataba lisaini ovyo
Zele ni shujaa na hawakutegemea msimamo imara kama ule, tena ndani ya White house. Trump na Vance wameaibika sana kukosa mkataba wa ajabu ajabu wa madini.
 
Mwaka wa 3 kishajua atapambaba vipi
Miaka 3 yote hiyo kapambana kwa misaada.

Ndiyo maana Trump kamwambia wakiondoa misaada ya pesa na silaha ndani ya wiki 2 tu Ukraine yote inaanguka mikononi mwa Russia.

Vuta picha msaada mkubwa aliyopatiwa na Marekani na bado nchi yake imemegwa zaidi ya 20%. Akikatiwa kabisa nchi yake itaishia wapi?

Kila mara nchi yake ikishambuliwa miundombinu ya umeme ama nishati nchini mwake ni USA tu ndiye anayetoa pesa zake ili Ukraine isikae gizani na wala si nchi majirani zake wa Ulaya.

Alichoonyesha ni umasikini jeuri ambao haumfikishi popote!
 
Mkuu kwa congo hawaitiki sababu wanachukua madini kupitia hao M23
 
Yule raisi wa Ukraine ameingia 18 za wanaotaka mali za nchi yake nae amekubali,wakampatia silaha za mkopo,hela hana zakuwarejeshea sasa wanamlazimisha asaini ili iwe mbadala wa ulinzi,ulaya yote kl mtu anazitaka hizo mali.
Ulaya wanataka vita iendelee kwakua wanachukua mali kimya kimya,wanajua vita ikiisha wao watakua na hasara,Trump anataka kuwazidi wenzake kwakubeba mali kitu ambacho ulaya haipo tayari
 
Zelensiky kaonyesha umwamba sio uingie mikataba ya kipumbavu kama ya DP world ushangilie tu inatakiwa ujue manufaa ya nchi yako kwanza
Ndiyo apigane mwenyewe asiende kuomba omba Marekani amsaidie.
 
Big up Zelensky.. Ukrainian are proud of you... Simama imara Putin mwenyewe kachoka
Unajifurahisha mkuu.Yaani Ukrainians are proud of a man who has led to the slaughter of 1 million plus Ukrainian soldiers and flight of 20 million plus Ukrainians?That surely can't be.
 
Huyo bado ulaya inamsaidia Sasa madini hatawapa ulaya. Na USA atapunguza nguvu zake duniani maana mataifa mengi yataacha kumuangalia na kuanza kujidhatiti kivyao na hiyo itafanya USA kujiunga na china na russia north Korea na kutengeneza uharibifu wa dunia hii
 
Uchambuzi wako ni sahihi mkuu.jamaa kabanwa mbavu kweli kweli.
 
Akili za kipumbavu kabisa hizo.... Urusi hajawai kuwa na ajenda za kuteka nchi ukiona anateka nchi yoyote ujue kachokozwa sana ndiyo maana ajawai kuwa na makoloni hata africa au India na Asia bila ya sababu nchi zilizo kuwa na tabia hiyo ni nchi za ulaya wao wanavamia tu na kuua duniani kote kuvamia na kutwaaa makoloni ...kama urussi ingekuwa na hiyo ajenda isinge kubali kuiachia UJERUMANI kumbuka kuwa ugerumani ilikatwa mapande mawili moja la urussi na moja ya nchi washirika wa USA NA UINGEREZA ....
 
ofcourse jana imepasua vichwa vya habari ulimwengun.
nachokiona walijipanga kumnanga zelensky ndio man vance akaanza kumrushia madongo trump kakaa kimya anajifanya hajui.badae akaingilia akaanza kumsema. na shida ya zelenzky diplomaticaly angekua ana uelewa angekaa kimya ila akajifanya kama yupo kwenye debate anamkatisha host wake tena president that was diplomatic blunder ever.ange calm down wale wasingepata pa kumsema ila kwa vile wanamjua short temper na jamaa kasha tweet tweet sana vi bull shit ana confidence Uk watampa hela ndio akaamua asiwe mnyonge. ila alikosea sana.na pia hakupaswa ku argue na english ambayo hana mastering nayo
ye angeyakoroga kiukraine huenda angejitetea au kama angejua anakwenda kuongea ngeli angepata kamnyweso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…