Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Hayo ni matunda ya kuwa rais wa kupandikizwa na vibaraka ...hivyo Zelensky ni kibaraka wa NATO na ukiwa kibaraka siku zote mambo yakienda kombo unageuzwa mbuzi wa kafara.
 
Kwa alichomfanyia Trump akubaliane na Putin aichukue nchi yeye aachie ngazi.
Hapa ndipo linapokuja swali muhimu: Kwa nini ulipigana wakati hauna nguvu ya kupigana?

Ameshaiharibu nchi kwa sasa!

Na ndiyo maana watu wanamuona ni mjinga, hawamheshimu.
 
UK gani impatie hela? UK hii ambayo inapigania uchumi wake?

UK hii ambayo Trump juzi kamuuliza Prime minister wa UK hadharani kama wanaweza wakapigana na Russia peke yao hali ya kuwa hawawezi?

Basi Zele kweli ni comedian aliyekubuhu!
 
Binafsi nimependa sana Trump alivyombagaza Zelensky. Unajua vita vya Ukraine na Russia ni kama kushabikia ushoga, yaani kila anayesapoti ushoga akijitokeza kuutetea ushoga anaonekana anaakili, kastaarabika na mwenye hekima na ndiyo standard ya dunia. Ila kuna watu hawapendi kabisa ushoga ila wapo kimya tu na hawasemi. Sasa kwa Trump imekuwa tofauti. Ukiangalia ukweli kabisa vita ile ni ya kijinga na aliyesababisha ni huyu mkata mauno Zelensky, yeye anashawishiwa na Ulaya na jinga Biden anaingia vitani kijinga kijinga. Mi nadhani kuna la kujifunza, vita siyo suluhisho
 
Hivi vita vimemfanya Putin kuwa na nguvu zaidi
 
Umaskini mbaya sana!
Pamoja na kuitwa COMEDIAN bado ameenda ikulu ya Marekani kufanya mjadala na Trump.
 
Huu ni mtazamo wako. Mfano wako wa ushoga ni irrelevant.
Hivi aliyevuka mipaka na kumshambulia nwenzie ni nani?
 
Marekani ni kama mke/mwanamke, ni lazima siku moja atakusuprise tu ni suala la muda..,ni bora ujiwekeze/ujitegemee mwenyewe kuliko kuwekeza kwa mke/mwanamke!!
 
Upo uwezekano Zelensky kaagizwa na nchi za EU kukataa matakwa ya Trump...nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa EU NDIYO WAMEMPA MWONGOZO ZELENSKY WA KUFANYA HIVYO.
UFARANSA
 
Zelensky anatakiwa kufanyaje? Kuikabidhi nchi kwa Urusi?
 
HUNA FACTS WEWE HUYO MUMEO RUSSIA KAMA ANGEKUWA THE WAY YOU THINK LEO ANGEICHUKUA UKRAINE YOTE LAKINI TAFITA FACTS WARUSI WENGI MNO WAMELAMBA VIMBI MPAKA KAOMBA MSAADA WA 10000 NORTH KOREAN ARMY
Kwani Urusi anapigana na Ukraine peke yake?
 
Trump anaye huyo Doto Magari wake VANCE
VANCE : Ujue wewe unabidi umshukuru sana Boss wangu Trump
ZELE: Oya mbona unapayuka we jamaaa
TRUMP : Hapayuki we unajisahau sana haujui kama sisi ndo tumeshika mpini eeh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Vance ndie aliyeanzisha hio vurugu ase.

Kajimwambafy na Zelensiki na alipo mdindishia, ikabidi Trump aingilie.

Ukitizama Video yote, utagundua Vance ndie aliyeharibu na baadae na rightwing media

Vilevile, utagundua rightwing ndio wanaochochea mambo trivia sana. Kwani kuvaa suti ndio nn.😅🤷‍♂️Mbona hawakumchamba wakati akihutubia Congress?

Sio hiyo tu, lugha pia ziligongana.
 
Trump na Zelenskyy ni paka na panya
 
Kuna Msemo Unasema There is no free lunch. Zele hakuliona hili? Although he is too late yatayoenda kumpata ni worse zaidi ya haya Russia ataenda kuinyakua Ukraine ngoja US wasitishe misaada ya silaha kwa Ukraine ndio utamjua PUTIN vizuri. Muda Utaongea
 
Nawashauri Watanzania ambao hawajaitizama Video yote, mwanzo mpaka mwisho, waitizame.

Form your own opinion and perspective.

Hata hivyo Watanzania mtagundua tunalishwa matango pori na propaganda za mrengo wa kulia na wakuzaji wa himaya za Wazungu. White Supremacist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…