πππππ tuje katika hali ya kawaida tu wawili unaweza sema ni wengi ,achana na tafsiri ya wengi kimantiki πππππhili jibu sikutegemea litoke kwa mtu kama wewe.
Nisaidie wingi huwa unaanza na ngapi?
Katika hali ya kawaida tu unaweza kuwa na vitu viwili ukajidai una vingiπWengi wanaanzia wangapi?
Mfalme Daudi hakuwa kipenzi cha Mungu?Mathayo 19:4
Akawajibu: βJe, hamkusoma kwamba yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamke 5 na kusema: βKwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmojaβ? 6 Basi wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.
Mungu alimpa Adamu mke MMOJA.
Kuoa wake wengi ni tamaa na kukengeuka.
Ala kumbe Yesu alisemea kuhusu ndoa ya mitala.Yesu alijua uwepo wa hizi ndoa na wala hakuwa na shida ndazo, hata katika mafundisho yake alitolea mfano wa mabikra kumi kuolewa na mwanaume moja.
Ni ndoa ambazo alizikuta na hakuwahi kuzikemea
achana na tafsiri ya wengi kimantiki.πππππ tuje katika hali ya kawaida tu wawili unaweza sema ni wengi ,achana na tafsiri ya wengi kimantiki πππ
Sawa mwalimu wa kiswahili, ila Musa alipo waambia kuhusu kutokua na wake wengi haikumaanisha wawe na mmoja tu kwa sababu kiasili walikua na utamaduni wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja .achana na tafsiri ya wengi kimantiki.
wengi ni wingi.
Wake ni wingi
Mke ni umoja.
Unapojaribu kupachika katika hali ya kawaida sijajua unatumia vigezo gani?
Kimantiki na kisarufi wingi huanzia mbili.
Mfalme Suleman, naskia alikuwa na wake kibao pamoja na michepuko ya kufa mtu. Lakin naskia ndo mtu mwenye hakima zaidi toka dunia iumbwe.Unaombwa sheria unaleta hadithi.
Nabii gani alioa Wake wengi zaidi ya Yakobo tena kwa kuingizwa mkenge na mjomba wake?
Nitakujibu kwenye context ya biblia.Sawa mwalimu wa kiswahili, ila Musa alipo waambia kuhusu kutokua na wake wengi haikumaanisha wawe na mmoja tu kwa sababu kiasili walikua na utamaduni wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja .
Kwa mantiki hiyo naweza nikapinga huo ujumbe wa torati ya musa haukumaanisha wawe na mke mmoja tu.
Kama waliamini kinywa cha musa ni sauti ya Mungu walizungua mkuu , tofauti na apo sina lakusema zaidi mkuu.Nitakujibu kwenye context ya biblia.
Musa alikuwa ni mtumishi wa mungu, hivyo wao waliamini kila asemalo ni kutoka kwa mungu sababu alichaguliwa kuwaongoza.
Katika watu wote hao waliokuwa na wake wengi tukianzia kwa Lameki pote utakutana na neno βakajitwaliaβ
Hakuna maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa..... kwenda kwa watu....
Una maanisha nini unaposemq ilikuwa tamaduni yao? Tunazungumzia utamaduni au Amri za mungu wao?