min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
๐๐๐๐๐ tuje katika hali ya kawaida tu wawili unaweza sema ni wengi ,achana na tafsiri ya wengi kimantiki ๐๐๐๐๐hili jibu sikutegemea litoke kwa mtu kama wewe.
Nisaidie wingi huwa unaanza na ngapi?