Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hili jibu sikutegemea litoke kwa mtu kama wewe.

Nisaidie wingi huwa unaanza na ngapi?
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ tuje katika hali ya kawaida tu wawili unaweza sema ni wengi ,achana na tafsiri ya wengi kimantiki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Simeoni na ndugu yake waliingia mjini wakaua wanaume elfu moja kisa mmoja wao amemla dada yao, Lakini Mungu aliwaacha, Kwa hiyo makanisa yaruhusu watu kuua wanavyojisikia?
 
Mathayo 19:4
Akawajibu: โ€œJe, hamkusoma kwamba yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamke 5 na kusema: โ€˜Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmojaโ€™? 6 Basi wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.

Mungu alimpa Adamu mke MMOJA.
Kuoa wake wengi ni tamaa na kukengeuka.
Mfalme Daudi hakuwa kipenzi cha Mungu?

Mfalme Suleiman alitoka kwa mke wa kwanza wa Daudi?

Je, Suleiman kuoa wake 700 na masuria (michepuko) 300 alipoteza hekima yake aliyopewa na Mungu?
 
Yesu alijua uwepo wa hizi ndoa na wala hakuwa na shida ndazo, hata katika mafundisho yake alitolea mfano wa mabikra kumi kuolewa na mwanaume moja.

Ni ndoa ambazo alizikuta na hakuwahi kuzikemea
Ala kumbe Yesu alisemea kuhusu ndoa ya mitala.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ tuje katika hali ya kawaida tu wawili unaweza sema ni wengi ,achana na tafsiri ya wengi kimantiki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
achana na tafsiri ya wengi kimantiki.

wengi ni wingi.
Wake ni wingi
Mke ni umoja.

Unapojaribu kupachika katika hali ya kawaida sijajua unatumia vigezo gani?

Kimantiki na kisarufi wingi huanzia mbili.
 
1 Wafalme 11:3
Naye alikuwa na wake 700 waliokuwa mabinti wa wafalme na masuria 300, na hatua kwa hatua wake zake wakaugeuza moyo wake.
 
achana na tafsiri ya wengi kimantiki.

wengi ni wingi.
Wake ni wingi
Mke ni umoja.

Unapojaribu kupachika katika hali ya kawaida sijajua unatumia vigezo gani?

Kimantiki na kisarufi wingi huanzia mbili.
Sawa mwalimu wa kiswahili, ila Musa alipo waambia kuhusu kutokua na wake wengi haikumaanisha wawe na mmoja tu kwa sababu kiasili walikua na utamaduni wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja .

Kwa mantiki hiyo naweza nikapinga huo ujumbe wa torati ya musa haukumaanisha wawe na mke mmoja tu.
 
Unaombwa sheria unaleta hadithi.
Nabii gani alioa Wake wengi zaidi ya Yakobo tena kwa kuingizwa mkenge na mjomba wake?
Mfalme Suleman, naskia alikuwa na wake kibao pamoja na michepuko ya kufa mtu. Lakin naskia ndo mtu mwenye hakima zaidi toka dunia iumbwe.
 
Sawa mwalimu wa kiswahili, ila Musa alipo waambia kuhusu kutokua na wake wengi haikumaanisha wawe na mmoja tu kwa sababu kiasili walikua na utamaduni wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja .

Kwa mantiki hiyo naweza nikapinga huo ujumbe wa torati ya musa haukumaanisha wawe na mke mmoja tu.
Nitakujibu kwenye context ya biblia.

Musa alikuwa ni mtumishi wa mungu, hivyo wao waliamini kila asemalo ni kutoka kwa mungu sababu alichaguliwa kuwaongoza.

Katika watu wote hao waliokuwa na wake wengi tukianzia kwa Lameki pote utakutana na neno โ€œakajitwaliaโ€

Hakuna maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa..... kwenda kwa watu....

Una maanisha nini unaposemq ilikuwa tamaduni yao? Tunazungumzia utamaduni au Amri za mungu wao?
 
Ngoja kwanza nikeleze jambo kidogo.. Achana na mambo ya dini ni utapeli.

Swali ni kwanini Evolution permitted for a male species to have multiple females not in all organism maana wengine female have multiple partner.

Jibu ni moja lenye vipengele viwili.
1. Male organism are there just to shuffle genes

2. Kushika mimba na kuzaa inahitaji nguvu nyingi kuliko kufanya mapenzi sasa siku zote species inahitaji kuongezeka ili kusruvive so only way ni male species kuwa na majike wengi kuwapa mimba.

Ndio maana mwanaume anaweza wapa mimba wanawake kila siku ila mwanamke hawezi shika mimba kila siku anasubiri mpaka ajifungue/atage then kama jamii nyingine kulea watoto.

Maswali mengi ya hii dunia hayana majibu kwenye vitabu vya kitapeli kama vya dini ila sayansi imeshaelezea kwa kina sana.

Achana na vitabu vya uongo iamini sayansi
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Je kuna andiko linalosema Mwanamke ataolewa na mme mmoja tu?
 
Kuhani wa ibilisi. Hakuna mvutano bali fikra zako alizokushawishi ibilisi nawe ukakubaliana nazo.
Hazina mashiko. Ni uchaguzi wako. Huwezi kubaki na 1 endelelea. Mungu anakusubiri huko mbele. AU BADILI DINI KAJICHANE. NA HUKO WANAISHIA 4, AU UWE MGANGA UOE UTAKAVYO.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Nitakujibu kwenye context ya biblia.

Musa alikuwa ni mtumishi wa mungu, hivyo wao waliamini kila asemalo ni kutoka kwa mungu sababu alichaguliwa kuwaongoza.

Katika watu wote hao waliokuwa na wake wengi tukianzia kwa Lameki pote utakutana na neno โ€œakajitwaliaโ€

Hakuna maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa..... kwenda kwa watu....

Una maanisha nini unaposemq ilikuwa tamaduni yao? Tunazungumzia utamaduni au Amri za mungu wao?
Kama waliamini kinywa cha musa ni sauti ya Mungu walizungua mkuu , tofauti na apo sina lakusema zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom