Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Pale ccm like magufuli hamna tena kwa sasa!
Huku kwingine mfumo hauwezi kuruhusu wakalie kiti.
 
..awe mama, bibi..hataongoza, mwaka huu mwisho..wanajifurahisha tu kudhani ataendelea na hao waliowatabiria..haitatokea!
Umeshindwa kuelewa maana yangu, ni hivi: mleta mada amesema hajataja mtu, na huku amesema "Mama 2025-2030" ndio namuuliza huyo ni nani na wewe unasema hujataja mtu?
Uwe unasoma swali na kuelewa kabla hujajibu
 
..content yote ni ujinga, awe ametaja majina au hajataja hakuna cha kujadili hapo.
 
Ndo sababu yule Mwosha katoa jarida refu likimuonesha mmoja wa hao akimtambulisha mwanae kwa Mnene ilhali anajulikana sana katika duru za sasa. Yaelekea kampeni zimeanza kabla ya muda rasmi uliowekwa. Yule Pilato wa haya mambo anasemaje kuhusu hili?
 
wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?
Bingwa wa kutype Duniani kote JEIWIII huwa haiingili siasa kama wewe umepiga nne huku unakula soseji huku unaandika USHUJAA(DEBEtupu).
🚢🚢🚢
 
Bingwa wa kutype Duniani kote JEIWIII huwa haiingili siasa kama wewe umepiga nne huku unakula soseji huku unaandika USHUJAA(DEBEtupu).
🚢🚢🚢
pumbavu wewe hapa unafanya nini, toka JF kwa vile wewe si bingwa wa ku type. Pumbavu kabisa naku block takataka
 
Kazi ya mbwa sio kufukuza mwizi. Kazi ya mbwa ni kumuamsha mwenye mbwa pindi kunapotokea hatari na kumuongoza kufuatilia nyayo. Tofauti ya mbwa na jogoo ni uwezo wa kunusa
Bila mihemko na kirahisi sana Taifa letu litaongozwa na Rais mwanamke huko mbeleni baada ya Dr.EN kumaliza ngwe zake mbili za kikatiba huku akimuachia Dr.HM wa smz na Dr. TAM wakiendeleza gurudumu la mapambano ya maendeleo kwa waTanzania wote πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…