Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Hisia na chuki zinakuongoza hakuna wa kuweza kumhonga Mbowe hahongeki nitajie hata mmoja wa kuweza kumhonga Mbowe hao ccm wenyewe wana njaa kama nini.
Mbowe mwepesi kama jani kavu la mgomba anahongeka kirahisi sana.
Mwaka 2015 alihongwa na mamvi akampiga chini Slaa kugombea URAIS na kuwachia mhongaji. Lkn pengine ulikuwa hujazaliwa.
 
Lakini nailaumu CCM pia, imelea hawa wafanyabiashara matapeli wa Dar na wakajiona ndio kila kitu kwa sababu tu wanawapa asilimia fulani kwa kila biashara ya chini ya kapeti.

JK alikuwa anatembea na yule mfanyabiashara mhindi aliyefariki kwa covid mwaka juzi, katika mikutano ya hadhara. Wamewalea wenyewe kwa muda mrefu mpaka wakaweza kutengeneza network yao kule bandarini na kwa sasa wanauhisi ugumu wa maisha utakavyowapiga baada ya bandari kuanza kuendeshwa kisasa zaidi.
Unadili vema sana kuliko watukanaji na wakabila wenye ubaguzi na udini CHADEMA.
 
wewe ulikuwa umesinzia baada ya kula maharage ya wapi hadi hujui namba mtukanaji bingwa Nshalla alivyomtukana Rais na wanawake wote? Tusi halirudiwi.
Nshalla sijawah msikia akitukana labda mtujinga amkorofishe na hapo hatamtukana ata mwa adentify tu huyo mtu
 
Hawa uliowataja ni mawakala wa wazungu wenyewe wenye kuchukia wanapoona tunataka kufaidika na bandari kwa asilimia mia moja.

Wengi wa hawa wanasheria ni watu wanaolipwa baada ya kuongea mbele ya waandishi wa habari hivyo ni silaha muhimu ya siri ya wenye pesa katika vita dhidi ya mipango ya serikali.

Rais Samia unaweza kumuona mpole lakini yupo kimkakatia sana kuliko hawa wanasiasa wapiga kelele wanavyomchukulia.

Hawa wapiga kelele wanawafanyia jambo baya sana wadau halisi wa bandari ambao wanaunga mkono mia kwa mia uwekezaji huu.

Kuna hizi ICD yaani container depot ni sehemu ya kuhifadhi mizigo zilizobuniwa katika awamu ya nne na ya tatu, ambazo kwa kiasi kikubwa ni mali za mawaziri na mabosi wengine wa serikalini, hawa watapinga uwekezaji wa DPW.

Akija huyu mwekezaji kutakuwa hakuna sababu ya mzigo kuhifadhiwa kwenye yard ya mtu eti ukisubiri kwenda kupakiwa melini, hizi foleni zilizotengenezwa ndizo zinazowapa ulaji wafanyabiashara wachache wa mijini, ni upumbavu mtupu unaoendelea pale TPA.

Mitambo ya kisasa itapakua na kupakia mzigo wa melini kwa haraka zaidi na ufanisi utakaokuwepo utawafanya wafanyabiashara wafikirie masuala mengine kwenye huo muda wanaotumia kufikiria kutoa au kuingiza makontena bandarini.

Kundi la wanaopinga uwekezaji linawatumia hawa wanasiasa wenye kuheshimiwa mbele ya umma kwa ajili ya kujenga hofu na picha hasi juu ya kinachotaka kufanyika lakini mwisho wao umeshakaribia.
sawa, kwahiyo huo mkataba unaisha lini?
 
Hawa akina Mbowe, Slaa, Lissu na Nshalla wana dhambi inayolia mbele ya Mungu. Wamejiharibia sana wenyewe na mjadala mzima.
Hawajaitendea haki TZ, Waombe radhi ktk vyombo vya habari/media.
 
Hii ni aina ya rushwa ili kuwafanya wazenj wasitamani kujitoa kwenye muungano. Kwa nn upendeleo wa waziwazi namna hii na kumnyima mtanganyika haki kama hiyo huko zenj?
[emoji106]
 
Ukikosa hoja unakuja na huu upuuzi wa bandari kupewa waarabu. Stupid and childish argument.

DPW wana miliki bandari mbili za UK na huko pia wanataka kuwamilikisha waarabu bandari zao?.

Huu ndio ujinga wanaotumia kama chambo cha kuziteka akili za watu wengi huko mitaani. DPW wamewekeza kwenye bandari zaidi ya 30 duniani na huko kote wanazo akili za kibaguzi na kipuuzi kama hizi za mpendwa Anita?.
Mkataba WA UK hauko WA hovyo kama Huu
Ule upo specific unataja miaka,na mapato watayopata peleka uzwazwa Wako JAMBIANI
 
Mkataba wa UK na huu una tofauti ya mazingira ya namna ulivyosainiwa, punguzeni ujuaji wanasheria waliosaini sio wajinga kama mnavyowachukulia.
Ulishaona mkataba usiooonyesha ukomo?
Mkataba unaosema eti hâta iweje mkataba hautavumjika,mkataba hauonyeshi tutapataje faida,mkataba unaosema eti bandari zote Ktk maziwa yote na hâta dry port eti vyote vitakuwa chini ya waarabu,et ukitaka kuendeleza bandari yoyote umtaarifu yéyé mwarabu kwanza Kuna mkataba duniani uliouona unafanana hvyo? Acha utahira wewe mla urojo WA MAKUNDUCHI
 
Hawa akina Mbowe, Slaa, Lissu na Nshalla wana dhambi inayolia mbele ya Mungu. Wamejiharibia sana wenyewe na mjadala mzima.
Hawajaitendea haki TZ, Waombe radhi ktk vyombo vya habari/media.
Wewe mlamba matako ya mwarabu huwezi kuwa na akili,endelea kula urojo hapo MAKUNDUCHI
 
Wewe mlamba matako ya mwarabu huwezi kuwa na akili,endelea kula urojo hapo MAKUNDUCHI
Du, ndio CHADEMA hii, inayotarajia kushika Dola 2025. Kweli wananchi watawapa kura nyie, halafu mkishindwa eti msingizie mmepigwa/mmeibiwa. Kelele za DPW mnadhani zinatosha kwenda ikulu! Mama anarudi ikulu kirahisi sana 2025.
 
Tunataka tija ya uchumi iongezeke hata angekuwa ni mhindi anakuja kumiliki hiyo bandari kwetu ni sawa tu.

Tunataka kuondoka na foleni za kuingiza meli ambazo zina uhusiano wa moja kwa moja na bei za bidhaa huku mitaani.

Tunataka kuharakisha utoaji wa mizigo katika eneo lile la bandari, hali inayoleta ujenzi wa ICDs nyingi katika maeneo yale ambazo zinamilikiwa na wenye uhusiano wa karibu na wanasiasa wenye vyeo vikubwa serikalini.

Tumetambua na tulishatambua faida za DPW muda mrefu sana uliopita na tupo na Rais SSH na serikali yake, mahali ambapo TRA inaweza kupata trilioni 27 kwa mwaka na wakati kwa sasa inapata trilioni 7 tu, tupo na mipango yote ya serikali ya sasa.

Hawa kina Mwabukusi, Lissu na Dr Slaa wanatumiwa na wote wenye kufaidika na haya magumashi yanayoendelea kuwatajirisha wachache pale TPA, lakini mwisho wake umekaribia.
Kwani nani amekataa hao DP World wataleta ufanisi,na kuingiza hizo hela....kinachopingwa hapa ni aina ya hayo makubaliano.....mnajitoa ufahamu tu,eti kama angekuja mhindi acha kulamba matako watu wa nje,,,,,kwa nini hufikirii kama sisi wamatumbi tuna uwezo huo wa kuendesha bandari zetu?????........huna ushahidi akina lissu wanatumika nyamaza!
 
Back
Top Bottom