Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

Unaposema "watu wakubwa matako yalikuwa wazi" una maanisha kitu gani?
Kipindi hicho kulikuwa hakuna kunyanduana?
Yaani tako la mtu mzima liwe nje halafu hakuna madhara yeyote?
 
Sasa kama alikua na Hela angefanyaje?? Mana Lowasa mnamsema alikua Mwizi lakini nani haibi nchi hii?? Watu wanakula mandazi na kuamua umeme February mwisho wa mgao...wakila mandazi tena wanasema ooh March mara June....Nyie watu mmetuumiza sana nchi hii...Magufuli alipokua hai umeme uliwaka miaka 6 bila kukatika...Msituone sisi maboya kutugawia uchuro.
 
Lowassa alianza mapema sana kutamani ubwanyenye .angeupata uraisi nchi ningeuzwa hii.
Nchi ishauzwa hii usifumbe macho. simtetei Lowasa ila majizi ni Mengi mnoooo...Magufuli alijaribu kuyaondoa akashindwa nani atayaweza haya majizi??? Yanatuona sisi hatuna akili yanadhani yenyewe ndio yana akili iko siku watoto wenu wataona aibu kujiitia majina yenu yatakua yananuka
 
Aisee leo unaongelea suti ambazo ni nguo za kuvaa tu
Hata mimi nilipoingia London tu nikajipiga koti la ngozi kwa £200 kama laki6 leo na ilikuwa mwaka 1990 sina utajiri ila mapenzi tu ya leather jackets 😄 💖

Sasa mtu katoka nchi masikini hajui lini atapata tena fursa ya kuja 🇬🇧 kwanini asinunue nguo na viatu vya kutosha?

Hivi angenunua nyumba kubwa kama Idd Amin hapa Travalgar Sq, St. James mngesemaje leo
Ila kwa sasa hilo jengo ni Ubalozi wa UG

Hapo ndio tungesema sana lakini suti jamani daa
Waswahili ni kiboko
 
Umeshindwa kuelewa context ya andiko,key words,ni umri wa muhusika,cheo chake,mwaka wa tukio,uchumi wa nchi hudika jwa muda huo,falsafa za viongozi wakuu wa nchi yake,naisha halusi ya watanzania 1983😭
 
Umeshindwa kuelewa context ya andiko,key words,ni umri wa muhusika,cheo chake,mwaka wa tukio,uchumi wa nchi hudika jwa muda huo,falsafa za viongozi wakuu wa nchi yake,naisha halusi ya watanzania 1983😭
Nzimekuelewa vizuri sana, hata mimi nilikuwepo miaka hiyo mpaka vita ya UG baada ya hapo nikaondoka zangu nikiwa kijana na kuja kutafuta maisha nje
Nayajua maisha wakati huo ila kwa 70s yalikuwa bado mazuri ila baada ya vita ndio kisago kikaanza

Tunajuta kwanini tuliingia vita kwa wengi
Ila nimeelewa maana yote thanks
 
Nitaletà ufisadi wa lowassa hapa ngoja tuzike kwanza,CCM ni wajinga sana walimjua uchafu wake tangu enzi za nyerere,Mkapa alitaka kumtosa mazima sema nini,jamaa lilikuwa na nyota
Sio nyota, RUSHWA.
 
Kunfuu shoes ,chachacha ,duka laushirika , ugali wa njano na muuza sigara naye mhujumu uchumi.
 
Hii nchi angepewa Lowasa ingekuwa mbali sana inaonekana ni mtu anaependa maendeleo lakini hii nchi walikabidhiwa watu wapenda umasikini kiasi Cha kuchinguzana Hadi viatu vya kuvaa utadhani tunaishi mbagala rangi 4 upuuzi mtupu
 
Ah kweli kabisa

Ova
 
Kwa nini unacheka ilhali umesema ni hulka ya mtu?!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…