Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ishauzwa hii usifumbe macho. simtetei Lowasa ila majizi ni Mengi mnoooo...Magufuli alijaribu kuyaondoa akashindwa nani atayaweza haya majizi??? Yanatuona sisi hatuna akili yanadhani yenyewe ndio yana akili iko siku watoto wenu wataona aibu kujiitia majina yenu yatakua yananukaLowassa alianza mapema sana kutamani ubwanyenye .angeupata uraisi nchi ningeuzwa hii.
Umeshindwa kuelewa context ya andiko,key words,ni umri wa muhusika,cheo chake,mwaka wa tukio,uchumi wa nchi hudika jwa muda huo,falsafa za viongozi wakuu wa nchi yake,naisha halusi ya watanzania 1983😭Aisee leo unaongelea suti ambazo ni nguo za kuvaa tu
Hata mimi nilipoingia London tu nikajipiga koti la ngozi kwa £200 kama laki6 leo na ilikuwa mwaka 1990 sina utajiri ila mapenzi tu ya leather jackets 😄 💖
Sasa mtu katoka nchi masikini hajui lini atapata tena fursa ya kuja 🇬🇧 kwanini asinunue nguo na viatu vya kutosha?
Hivi angenunua nyumba kubwa kama Idd Amin hapa Travalgar Sq, St. James mngesemaje leo
Ila kwa sasa hilo jengo ni Ubalozi wa UG
Hapo ndio tungesema sana lakini suti jamani daa
Waswahili ni kiboko
Nzimekuelewa vizuri sana, hata mimi nilikuwepo miaka hiyo mpaka vita ya UG baada ya hapo nikaondoka zangu nikiwa kijana na kuja kutafuta maisha njeUmeshindwa kuelewa context ya andiko,key words,ni umri wa muhusika,cheo chake,mwaka wa tukio,uchumi wa nchi hudika jwa muda huo,falsafa za viongozi wakuu wa nchi yake,naisha halusi ya watanzania 1983😭
i can tell you ana familia ya watu zaidi ya 5.hiyo nusu lita inawatosha kweli?Kama anahitaji nusu anunue lita nzima ya nini?
Hatafuti sifa zisizo na faida kwake.
Inawezekana wanatumia wachache tu miongoni mwao.i can tell you ana familia ya watu zaidi ya 5.hiyo nusu lita inawatosha kweli?
Rich mentality ndiyo imemuangusha mwamba.Lowassa was Rich Kid
Sio nyota, RUSHWA.Nitaletà ufisadi wa lowassa hapa ngoja tuzike kwanza,CCM ni wajinga sana walimjua uchafu wake tangu enzi za nyerere,Mkapa alitaka kumtosa mazima sema nini,jamaa lilikuwa na nyota
Kunfuu shoes ,chachacha ,duka laushirika , ugali wa njano na muuza sigara naye mhujumu uchumi.Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo miaka hiyo mtanielewa,wale wadogo zangu hamuwezi kuelewa,maisha ya 1973 yalikuwa mazuri kwa wananchi kuliko ya 1983,tulivaa midabwada ,viraka,mtu mzima matako nje....,sigara,sabuni ,sukari,ungekamatwa navyo ni jela miezi sita
Ah kweli kabisaJidanganye tu ila hao matajiri wote wametokana na uwizi ndani ya CCM ...Kulikuwa na haja gani kuingia kweny siasa zaidi ya kujipatia pesa za dili hata biashara inataka connection.
Wamasai wanafuga ngo'mbe kwa leisure na prestige mpaka miaka ya 2000's hawakuwa matajiri wala zaidi jamii nyingi zilikuwa primitive ,labda wale waliokuwa na tender za kusambaza mazima na ng'ombe...Jamii za wamasai waliisha maisha ya level moja hakuna maskini wala tajiri
Wanasiasa wote wamejipatia easy money kupitia siasa hakuna aliyeingia kwa utajiri ni uongo mkubwa wajinga ndio wanakubali.
maskini bana!IT was a call to the system that the guy is corrupt
Kwa nini unacheka ilhali umesema ni hulka ya mtu?!hapo shida iko wapi? kumbuka kuwa wamasai wana ng'ombe wengi.na inategemea na hulka ya mtu.mimi hapa nina jirani ana ghorofa.mimi nyumba ya kawaida kabisa.but MUNGU amenijaria kufungua ng'ombe . huyu jirani yangu huwa ananunua nusu ya lita ya maziwa kwangu.sasa kuwa nacheka sana.mimi mwenye kipato cha chini nakunywaga lita nzima ya maziwa ,tajiri anakunywa nusu lita .hahahaha.so staili ya mtu inamtuma kuishi anavyotaka.
Uamuzi na mtazamo wa mtu. Wote wamasai ila mitazamo sio sawa.Masai wa miaka ile auze mifugo anunue suti,?unadhani Sokoine hakuwa na ngombe kwao?