mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #101
Nikutakie pasaka njema na wewe wao ni waoThank you mr Dj dah old is Gold , asante mdukuzi uwe na pasaka njema .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikutakie pasaka njema na wewe wao ni waoThank you mr Dj dah old is Gold , asante mdukuzi uwe na pasaka njema .
Usipoteze calories kuelewesha wanaotaka kuwa against after all huyu anakipaji cha kupinga kutaka aonekane anaelewa.Nini usichoamini broo ,
Watu waliingia makondeko kwa laki mwaka 1990, sio kwa kuambiwa bali nilishuhudia kabisa
Kanda bongoman alipokuja Tqnzania , hakuna sehemu alitumbuza chini ya kiingilio cha laki.
Soda mtaani ilikuwa ina uzwa sh 20 hadi 25, ila siku ile pale iliuzwa karibu na sh 100.
For the records, nauli ya basi mjini kote na uda ilijuwa kwa basi la uda sh 5, ndo sababu ikaitwa dala dala (dollar dollar ) , inasemekana ila:sina uhakika kuwa dola ilikaa muda mrefu ikiwa na thamani ya shilingi tano za kitanzania , ilipotoka tharafu ya shilingi tano , wajanja walikuwa wanaita 1 dollar waswahilib tukageuza dala.
Kutoka hapo makondeko kwenda kariakoo enzi hizo nauli ilukuwa sh 12 , na ndo ilikuwa ni nauli kubwa kwa outskirts suburbs na dar, ifuatiwa na tegeta., Mkuranga kisemvule , mvuti, mwanambaya , kwa miaka hiyo yakiwa ni makazi ya simba na binadamu wachache wabishi.
Upo right mkuu, tatizo la dot. Com kabla ya kutulia na kujifunza ,wao wanajifanya wanajua kila kitu wakati ni wapumbavu, na pia wameshazoeshwa kutafuniwa kila kitu, na pia waeleweshe kuwa wimbo uliopigwa na Mbilia Bel (nakei nairobi)ndio uliomfanya president Moi awafungulie tena hawa Congolese musiciansNdugu yangu uzi ukikuzidi umri we tumia fursa ya kujifunza,kanda bongo man alitimuliwa jenya,kuna ndoa zilivunjika huko,hii ni kweli sio chai
Thanks na salute mkuu, kipindi nchi Ina heshima na adabu, tulikua hatuchezewi ovyo Tanzania, Africa nzima ilikuwa inasubiria tamko kutoka Dar es Salaam ndio na wao watoe tamko laoAlipiga pale Kilimanjaro, Simba Grill. Mmiliki wa Mahepe ndo alimleta nchini kupitia Roy West import and Export ikiwa na makao yake pale Mansfield (uhamiaji zamani).
Huyu mmnapa airtime kujibishana nae huyu ni mshamba alietukuka.Legend
hata mie nilikuwa nashangaa hiyo show Michel jackson alipiga wapi. Nakumbuka kulikuwa na uvumi kuwa aliposhuka airport alifunika pua yake kuashiria kuwa Dar inanuka na akaishia sinza kwa watoto yatima.
Huyu jamaa ni muongo yet amekuwa akiwashutumu wenzake kuwa ndio waongo.
Dotcom hudhani kila kitu kipo google,hapo ameshagoogle akaambulia patupu,ila hajui ubongo wa binadamu unatunza kumbukumbu sanaUpo right mkuu, tatizo la dot. Com kabla ya kutulia na kujifunza ,wao wanajifanya wanajua kila kitu wakati ni wapumbavu, na pia wameshazoeshwa kutafuniwa kila kitu, na pia waeleweshe kuwa wimbo uliopigwa na Mbilia Bel (nakei nairobi)ndio uliomfanya president Moi awafungulie tena hawa Congolese musicians
MluuImepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,
Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,
Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
Mkuu age ni just a number, relax na enjoy maisha!wasikusumbue kabisa hawa dot.com wengi wao ni wapumbavu wa cancer level 4,huwezi kuwaelimisha kabisadadapesa sijafika hata 46,sema kichwa changu kinakumbuka matukio ya zamani kuliko ya juzijuzi
Unaonekana ulikuwa mtotoNdugu yangu uzi ukikuzidi umri we tumia fursa ya kujifunza,kanda bongo man alitimuliwa jenya,kuna ndoa zilivunjika huko,hii ni kweli sio chai
Cha ajabu ukienda bagamoyo kuna magofu yana miaka mia na zaidi,ila hapo makondeko hakuna hata alana kuwa kuliwahi kuwana ukumbi mkali Dar nzima,hakuna mabaki hata ya tofali mojaMluu
Tutemdee haki basi
Japo kapicha ka ukumbi ili sisi tuliozaliwa miaka ya tisaini tuone
Mpaka wa mbezi na kibamba ulikuwa mbele kidogo ya magari saba , enzi hizo kulikuwa na bar maarufu ya mbezi inn, enzi hizo ikimilikiwa na bwana mmoja kuitwa mzee mbwana .Huwa sielewi mpaka wa kibamba na mbezi,kile chuo cha St Joseph inadaiwa kipo kibamba,Luguluni ni mtaa ndani ya kibamba,sina uhakika lakini
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mujarabMpaka wa mbezi na kibamba ulikuwa mbele kidogo ya magari saba , enzi hizo kulikuwa na bar maarufu ya mbezi inn, enzi hizo ikimilikiwa na bwana mmoja kuitwa mzee mbwana .
Ile magari saba uluguruni mpaka ulikuwa na kibamba hospitali , uluguruni na magari saba lilikuwa ni eneo moja likijulikana kama mailli 15, jina la.magarinsaba lilikuja baadaye sana baada ya kutokea ajali ya lori la mafuta, yakaungua magari saba moja likiwa na maiti ndani.
Chuo cha saint joseph kipo luguruni
Basi kuna kitu (wivu wa kimaendeleo) ulisababisha hayo yoteCha ajabu ukienda bagamoyo kuna magofu yana miaka mia na zaidi,ila hapo makondeko hakuna hata alana kuwa kuliwahi kuwana ukumbi mkali Dar nzima,hakuna mabaki hata ya tofali moja
Sio wivu bali zilikuwa plan mbaya za Dr, Alex khalid mutawallaBasi kuna kitu (wivu wa kimaendeleo) ulisababisha hayo yote