Basi nilikulia manerumango, au nilikulia bwejuu, au nilikulia lituhi , au nilikulia soni lushoto, au nilikulia nyambui musoma, au nilikulia utete ya ikwiriri, au nilikulia kaparamsenga ya kigoma au nilikulia malamba ya tanga, au nilikulia laela ya sumbawanga, au nilikulia malya ya kwimba, au nilikulia kitangari ya mtwara, au nilikulia mgudenj ya mlimba moro huko au nilikulia kifanya ya njombe au nilikulia igurusi au ihanda ya tunduma, au nilikua majimoto ya mpanda, au tufanye kisarawe kisha nikahamia chanika baadae nikahamia kiwalani ya airport au tufanye tandale uzuri, au tufanye nilikulia kiponzelo iringa huko au nilikulia ruangwa na ikuti huko tukuyu au nilikulia mondo huko kondoa, au nilikulia lugoba, au nilikulia majita huko musoma, au nilikulia njoro same huko au tufanye nilikulia ndungu milimani, au chagua wewe then mimi nitakubali