Adhabu gani inayowakumba wote wema kwa wabaya?Kifo si adhabu kwako
Kisheria kifo ni adhabu, yapo makosa ukifanya adhabu yake ni kifo.
Kiimani kifo ni adhabu
Endeleeni kujifariji
Nature kifo ni asili
Hebu tuletee ule Uzi tena tujikumbusheKwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Ule mwaka walikwenda wengi sana. Sijui kama wanahusika ila walipukutika sanaMkuu mpaka sasa hivi ni kama wangapi wameshapukutika??
Jipe moyo.....Ukiua automatically wewe umelaaniwa na Uzao wako wote.Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Mbona unapaniki kwani Robert kamtaja mtu?wee kiazi usituchanganye humu fwalawee
Hakuna anayetoa visasi bali Ukiua moja kwa moja Mungu amekulipa kisasi cha laana. Maana uliyemuua hana neno wala lolote juu yako tena. Bwana ana deal na wewe tu.Nilikuwa nakufuatilia sana. Nikafikiri kuwa ww ni muumini wa dhehebu la kisabato.Na nimewafuatilia sana wasabato huwa hawana Imani za kuombea visasi. Nashangaa ww unaombea visasi kwa, watu wengine. Nimeshituka sana na nimeshangaa. Lakin amin nakwambia, maamuz yote ni ya, mwenyez mungu wa mbinguni. Hakuna binadamu atakayemtabiria kifo mwenzake. Nakuomba ufute kauli zako. Sio nzuri hata, kwa, Lissu na ww, mwenyewe.
Na wewe mtoa taarifa unafukiwa lini? 😡Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Fact ni kwamba binadamu wote watakufa. Hii kusema kwamba ulitabiri si sawa.Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Nani alikufa Lisu akashuhudia kifo chake?Kwema Wakuu!

Ajabu mtu kudhania kufa ni laana huku akijua wazi na yeye atakufaKufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Bado Lissu. Naye alishiriki. Endelea kusubiriAcha uchochezi
Wewe ni mjinga na mpumbavu na Wajinga na wapumbavu wenzako ndio watakuunga mkono. Kwanini nasema hivyo? Waliomuua unawajua? Kwa vipi unawajua? Usitafute cheap popularity kujifanya unajua kumbe ni limbukeni wa mtandaoni tu sawa na wasanii wa Bongo Movies kujifanya matawi ya juu wakiwa wazima, wakiugua wanataka tuwachangie pesa ya matibabu! PUMBAVU!!!Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Yote sawa. Lakini jiulize, kama kufa ni kufa tu na si adhabu, yule jamaa kwanini alikuwa akiagiza wanaompinga na kumkosoa wauwawe? Alishasema “msaliti” hawezi kuachwa a-survive tu!Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Sijui kama umejibu swali lililoulizwa. Kauliza: kwanini wewe hutakufa?😳Kifo kama adhabu
Kifo kama dhulma
Kifo cha asili
Kifo kama ajali
Kifo kama laana?
Unamaanisha kifo kipi kati ya hivyo?
Sijui kama umejibu swali lililoulizwa. Kauliza: kwanini wewe hutakufa?😳
Jieleze.
Nani ataishi milele hata akiwa mwema?
Hakuna wema wanakufa na umri mdogo?
Mto mada utaishi milele?
Kila ukilala na kuamka usisahau kuomba kifo chema hata kabla ya mali.
Sasa hao watu wakifa ndo mambo Lissu anapigania yatabadilika?Kwema Wakuu!