Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

Mwanamke akishaingia kwenye siasa lolote laweza kutokea,na hata hivi vyeo wengi wanagawa uroda ndo wanapata hakuna namna
 
UMMY ANAPIGWA VITA SABABU YA UISLAMU WAKE, mbona molel naibu wake kazi kukodoa mimacho hasemwi
Kwa kweli sijawahi kumuelewa Dr.Mollel yaani hata ku- comprehend context ya swali bungeni na kutoa jibu Sahihi hawezi ni empty set Kabisa kazi uchawa tu hadi Kwa Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya.Cha kushangaza,amekuwa aki- survive tu wanalaumiwa wengine hata wata kama Dr.Ndungulile aliyekuwa anajitambua walionekana hawafai
 

Ukiona hivyo ujue we ndiyo hujielewi
 
By my conclusion after 15 years of being JF contributor watanzania deserve what they get.

Watu tuliokuwa tunapiga kelele toka siku huyo dada anawekwa hiyo wizara jamani hee huko kuna maisha ya watu msicheze nayo hiyo sector ni technical na huyo mtu hana qualification za kwenda huko, mlikuwa mnatuona kama vile tuna vita binafsi.


Katika sector duniani ambazo zinatoa nafasi ndogo ya ubunifu wa mtu binafsi kwenye kuendesha na kusimamia huduma ni afya.

Afya is very hierarchical (top-down) policy and regulations wise. Watoa huduma mipango yao inatakiwa kufuata miongozo kutoka wizarani au medical professional bodies (na wizara zote over 90% ya policy zao ni WHO directives) hakuna ubunifu wa mtu binafsi kwenye management ya afya.

Ndio maana hata chawa awaelewi jukumu la serikali (wizara) kwenye safeguarding patients care wanapokuwa huko mahospitalini.

Yalikuwa maamuzi ya kijinga sana kumtoa Dorothy Gwajima afya mtu ambae achilia ya kuwa medical doctor anaufahamu mpana wa health management (sio kila doctor ana huo ufahamu), she was trained for that role.

Sasa leo mnalalamika nini, sio matatizo ya Ummy wagonjwa wanavyokuwa mistreated huko kwenye services level, but then akishapewa hayo malalamiko does she have the wit to troubleshoot the problem? Ndio maana unahitaji technocrat to safeguard patients.

Huko kwenye bima ya afya CAG anakwambia kuna upotevu wa zaidi ya hundreds of billions through fraudulent activities ujafanyia kazi hoja za CAG kuzuia hizo leakage? Who do you think is gonna pay for the losses. Ni wewe mwananchi ambae utapandishiwa gharama za bima ili mfuko usifilisike kwa uzembe wao wakuto zuia fraud za ndani na nje ya shirika.

Kwa aina ya viongozi tunaochagua na wastani wa akili zetu, tunachopata pia ni stahiki yetu; huo ndio ukweli wenyewe.

Ebu imagine mtu anaanzisha mada ya kujadili bima, halafu anasema NHIF wasihusishwe how is that even possible wakati wao ndio wanafahamu changamoto za finance.

The nonsense of this country is beyond me.
 
Unazeeka na ukilaza kichwani wewe Mzee. Taja mambo 5 aliyofanya Umi kwenye wizara ya Afya.
 
Kumchafua maana yake nini?
Kwani hizo picha ma video ni za uongo? Kwanini watu kusema ukweli ichukuliwe kuwa ni kuchafuliwa?
 
Ummy anabebwa na ushirikina wala hana lolote ni fisadi haswa
 
Mkuu naomba unisaidie
Hivi kujifungua hospitali za Serikali ni bure?
Hivi Matibabu hospitali za serikali ni bure?
Kama ni bure kweli kwanini watu wanadaiwa kuchangia?
Kama sio bure kwanini wanasiasa wana wadanganya watanzania kuwa matibabu ni bure?
Kwanini watumishi wa afya wanafukuzwa na kushushwa vyeo wanapo wadai wagonjwa malipo?
Nani yuko nyuma ya haya manyanyaso kwa Watumishi wa Afya?
 
Hapana alifata boss alihitaji nini hata wewe ungeliweza…. Kabla ya Ngwajima Ummy alikuwepo Wizara ya afya
 
Dah, hospital gani Tena kushimiana Hadi simu jamaa! Mimi sijawahi peleka familia yangu serikalini kutokana na kesi Kama hizi ninazosikia au kusoma
 
Wee ndio ummy mwenyewee Sasa
 
U Mmy alipaswa kuwa diwani au sanaaaa vitii maalumu
 
Hizi taarifa za wanawake kufa wakati wanajifungua pamoja na vichanga vyao kwa uzembe wa wauguzi hamjaziona kwenye vyombo vya habari? Na kina mama waliojifungua kulala wawili hadi watatu na vichanga vyao na picha zimepostiwa kabisa. Mambo ni mengi
 
Kwanini Ummy amefuta Bima kwa watoto na kulazimisha wasajiliwe mashuleni? Na kwanini kaongeza gharama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…