Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana


Huyo Gwajima lipi la maana amefanya akiwa NKM Tamisemi, na alipokuwa Wizara ya Afya. Rekodi ya utendaji wa Ummy, takwimu zinajulikana na kutambulika na watu wote ndani ya Wizara, sekta na Wadau wa Maendeleo.
 
Ni msanii
Mie mwenyewe hayo maigizo yake nimeyashuhudia huko pwani
Waziri mzigo,anabebwa na mbususu😂😂😂
 
Namuona mrembo Ummy hana baya na mtu halafu anatekeleza majukumu yake kiweledi sana(muono wangu) ila wapo watu wanamtafutia baya kila siku iendayo kwa mola.AU MIMI NDIO SIJUI YA NYUMA YA PAZIA??
Hivi issue ya chanjo ya Ukimwi iliishia wapi!?
 
Wenzenu wameonesha hadi ushahidi ninyi mnajitetea kwa maneno matupu... Wahojiwe wanaopata hizo huduma kwenye vituo vya afya msikie maoni yao.
 
Huyo Gwajima lipi la maana amefanya akiwa NKM Tamisemi, na alipokuwa Wizara ya Afya. Rekodi ya utendaji wa Ummy, takwimu zinajulikana na kutambulika na watu wote ndani ya Wizara, sekta na Wadau wa Maendeleo.
Embu tuletee hizo takwimu zinazompaisha huyo Ummy wako. Na sera gani alizo introduce kupata hayo mafanikio.

Matatizo ya afya ni complicated hata huyo Gwajima utegemei ata ya maliza kwa miaka mitano, walau anauelewa mpana wa medical practice, policy/regulations and management kuanzia kwenye zahanati mpaka hospitali za rufaa.

Shida kubwa ya afya ni working culture ya kutofuata miongozo ya afya na Dorothy alikuwa ana expose hayo mambo alipokuwa TAMISEMI kila siku na hata muda mchache alipokuwa waziri. Anahitajika mtu wa kupambana kuona taratibu za practice zinaheshimika na hiyo sio kazi ndogo kuwabadili watu tabia.

Let me tell what Dorothy Gwajima angefanya kama angekuwa waziri kwenye hili sakata la mimba. Badala ya kuzunguka na kwenda vituo ambavyo havina shida na kufanya propaganda huku akificha tatizo. Yeye angewaibukia kituo chenye tatizo na kuanza kuwapiga audit ajiridhishe kama number of staffs wanaotakiwa kuwa shift wote wapo nurses, wakunga, kama wanazidiwa na wajawazito angeomba barua yao iliyoandikwa wizarani kuomba kuongezewa wakunga, angekagua kama wajawazito wanapewa pre-natal care sahihi and so forth; kwa kifupi pangechimbika.

Sina shaka kuna uzembe huko wa ndani based on bad working culture na Dorothy kaonyesha mara kadha kila alipokuwa akiamua kuwapiga audit ya papo kwa hapo iwe inventory control au process za mahabara.

Usicheze na Dorothy kuna siku walitaka kumuongopea dawa hakuna akawaambia subirini mnanisikia tu hamnijui aliwaanzia kwenye order ya dawa na kuanza kupiga audit hadi kwenye remaining stock halafu akawauliza mbona receipts za MSD, issues na inventory hazi match dawa mlizopewa zimeenda wapi. Mwisho anawaambia ‘now you see now you don’t ebu nielezeni dawa ziko wapi hiki sio kitendawili cha Schrödinger’s equation’ tells you she is deeper in quantum physics too (to appreciate her sarcasm you need to understand particles behaviour).

Dorothy Gwajima is something else to appreciate her inabidi uwe na abc za health management.

Kuna siku tena akakuta wagonjwa wanacheleweshewa vipimo wakataka kumuongopea, haya subirini twende kazi akawapiga process audit hadi maabara wenye wakaomba msamaha.

Unataka kumfananisha Dorothy na Ummy; akili zako sio sawa. Ndio afya awamtaki Dorothy kwa sababu awawezi muongopea.
 

Hayo mapungufu Waziri anatakiwa kuyafahamu na kuyachukulia hatua.
 

Inaonekana Waziri mzembe watu wanafanya wanavyojisikia.
 
Tatizo siasa imeingia kwenye afya hata aje nani hiyo wizara kama sera hazijabadilika bado ataonekana hafai mfano hii ya mama kujifungua ni bure lakini ukienda hospital sio bure kuna vitu vyakununua.
 

Sawa ummy tumekusikia. Ila umepwaya ile mbaya. Badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…