Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

 
Muuaji,mtekaji,mfitini,mwizi wa kura.

Hana uhalali wa kuwa kiongozi wa hii nchi.
 
Zingatia mada husika, mama yako utamkumbuka kwa lipi.
Mkuu amka uende kazini au ushafika nipo najaza form ya Tume hapa niache .

Dr. Samia tunae mpaka 2030 namkumbuka na nnampenda Rais wetu.
KAZI INAENDELEA
 
Mkuu amka uende kazini au ushafika nipo najaza form ya Tume hapa niache .

Dr. Samia tunae mpaka 2030 namkumbuka na nnampenda Rais wetu.
KAZI INAENDELEA
Tume ya mchongo au unataka nitekwe, binafsi hamtanipata kwa njia hiyo.
 
Namuongeleaje mtu aliyefeli na leo anashika ofisi kubwa nchini, yaani mtu wa hivi hata ascendancy yake tu sio ya kupambana kielimu wala juhudi, its as usual, utegemee nini sasa.

The butcher!!
 
Akili zako hazikui tu
The Sun.

HOUSE OF BLOOD
Meet Africa’s female tyrant ‘Butcher of Tanzania’ who ‘murdered 10,000 of her own people & dumped bodies in mass graves’.
 
..Maza akiwasambaratisha genge la wasiojulikana na kuwafikisha mahakamani atajizolea sifa nyingi zaidi.
Wahusika wote walioshiriki katika kuiandaa kadhia ya October 29 watakamatwa labda wale wachache waliopo Marekani, lakini wakiwa Ulaya au Afrika hii tuliyopo lazima watadakwa tu.
 
Wahusika wote walioshiriki katika kuiandaa kadhia ya October 29 watakamatwa labda wale wachache waliopo Marekani, lakini wakiwa Ulaya au Afrika hii tuliyopo lazima watadakwa tu.
Wote waliohusika kuua watanzania awe rais, mtoto wake, IGP, Mafwele, RPCs, RCs, watu binafsi, siku ICC ikitoa order hawana pa kujifichia ni pingu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…