Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Na yeye ajiandae kunyea debe The Hague.
Principle of force ni ile ile huwa haibadiliki.
For every action, there's an equal and opposite reaction.
Order ya ICC sio sawa na mtu kununua mchele sokoni kisutu.Wote waliohusika kuua watanzania awe rais, mtoto wake, IGP, Mafwele, RPCs, RCs, watu binafsi, siku ICC ikitoa order hawana pa kujifichia ni pingu tu.
Endelea kumdanganya.Yangekuwa mauaji ya kimbari, mfano SSH ameua watu wa kabila fulani la Tanzania ingekuwa ni noma kwani hiyo huwa genocide (kimbari) lakini ni kesi ya mauaji ya binadamu (crime against humanity) kuundwa tume kwa kawaida kunaendana na jinai ya mauaji ya aina hiyo.
Inayosubiriwa ni tume itakayotoka aidha AU au huko EU ije ifanye kazi pamoja na tume hii ya SSH.
Kimbari ni balaa. Saddam Hussein alinyongwa, wasaidizi wa Hitler walifia jela, wale wahutu kule Rwanda mpaka kesho wanaendelea kukamatwa na kushtakiwa.
Kesi kule The Hague ni Crime Against Humanity sio Genocide.
Nakukumbusha ukamkumbushe kuwa....Order ya ICC sio sawa na mtu kununua mchele sokoni kisutu.
Hayo ni masuala ya international law, mwanasheria mkuu ni mtaalam wa sheria za kimataifa.
Crimes against humanity zinaruhusu uundwaji wa tume ya uchunguzi.Nakukumbusha ukamkumbushe kuwa....
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
=========
Legal Group Petitions ICC to Investigate Tanzanian President for Crimes Against Humanity Following Deadly 2025 Elections
MADRID/THE HAGUE – A coalition of international legal experts and human rights organizations has filed a formal petition with the International Criminal Court (ICC), accusing Tanzanian President Samia Suluhu Hassan...
- Ex Spy
- Replies: 296
- Forum: Jukwaa la Siasa
Punguzeni presha. Sio rahisi kumshtaki SSH wakati tayari keshaunda tume.Endelea kumdanganya.
Hayo ya kawaida sana kwa wanasheria, ndio kazi zao.Nakukumbusha ukamkumbushe kuwa....
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
=========
Legal Group Petitions ICC to Investigate Tanzanian President for Crimes Against Humanity Following Deadly 2025 Elections
MADRID/THE HAGUE – A coalition of international legal experts and human rights organizations has filed a formal petition with the International Criminal Court (ICC), accusing Tanzanian President Samia Suluhu Hassan...
- Ex Spy
- Replies: 296
- Forum: Jukwaa la Siasa
It's not an independent commission neither recognized by international bodies.Punguzeni presha. Sio rahisi kumshtaki SSH wakati tayari keshaunda tume.
Sawa waache watimize wajibu wao.Hayo ya kawaida sana kwa wanasheria, ndio kazi zao.
Hakuna kitu, hizi ni mbwembwe zenu wanaharakati.Sawa waache watimize wajibu wao.
Nimekupa mifano ya Tshisekedi kule DRC wamekufa raia 2000 ndani ya wiki moja, nani utamshtaki nani utamuacha?.It's not an independent commission neither recognized by international bodies.
Subiri kesi ianze ndipo utajua hujui, unaona kuua watu elfu 10 kwa siku 3 ni kitu cha kawaida, mwenyewe kajificha anajua akinachoenda kumkuta.Nimekupa mifano ya Tshisekedi kule DRC wamekufa raia 2000 ndani ya wiki moja, nani utamshtaki nani utamuacha?.
Muda utaongea mkuu tupunguze ujuaji kwenye kila mada.Subiri kesi ianze ndipo utajua hujui, unaona kuua watu elfu 10 kwa siku 3 ni kitu cha kawaida, mwenyewe kajificha anajua akinachoenda kumkuta.
Tatizo tulilonalo ni kongwe kuliko matukio ya siku husikaIkiwa ulishiriki katika kuandaa ile vurugu ya October 29 jiandae kupigwa pingu.
Mnajifurahisha tu. Hakuna Mtanzania Anayeweza Kushitakiwa ICC kwa kuwa Tanzania Siyo Mwanachama wa ICC.
Uuuups. Wewe utakuwa unaishi kwenye Kuta na Ikulu.Ni mengi ya kumkumbuka Rais Samia, nitataja machache, 10 tu kwa umuhimu wa mpangilio wake (1-10):
- Ni Rais wa kwanza aliyediriki hadharani mbele ya wazee-Dar na taifa lote, kukanusha umiliki wa HATI MILIKI ya nchi hii TZ waliyojitunukia/kuipora TEC kwa miaka mingi na kuirudisha kwa WANANCHI WOTE wa makundi yote. Asante sana Mama.
- Ni Rais wa kwanza TZ kupokea kijiti toka kwa mtangulizi wake kikatiba baada ya mtangulizi huyo kufariki.
- Ni Rais aliyeweza kudumisha na kuendeleza amani katika kipindi kigumu cha tukio la kihistoria la kuondokewa na Amir jeshi mkuu. Moshi mwingi ulikuwa ukifukuta, lakini kwa kutumia akili nyingi, busara, elimu, uzoefu akaweza kuiunganisha nchi na utulivu ukapatikana na kutuvusha salama. Ni jambo kubwa sana!
- Ni Rais wa kwanza aliyetoa tafsiri ya KIBIASHARA, TZ kama nchi isiyofungamana na nchi yeyote katika mwaka 2025 na kuendelea kwa kufungua milango ya kibiashara kwa dunia nzima hususan MASHARIKI YA KATI. Hapa Ma-rais wengi walishindwa, kila wakigusa, waliodhani wana hati miliki na wafuasi wao walipiga kelele sana wakitumwa na wa-magharibi na washiriki wao. Asante mama kwa kutuonyesha njia, milango imefunguliwa.
- Kaleta amani baada ya jaribio kubwa la 29/10 - 03/11 la kuipundua nchi ya TZ. Lingefanikiwa tungekuwa na Sudan ya pili Afrika. Si hao waliosababisha tu, wala wengine wasiohusika wangekuwa salama. Asante mama.
- Ni Rais wa kwanza aliyeongeza Pato kubwa la kodi la Taifa, iliyopata kwa miaka mitatu mfululizo. Ni rekodi ambayo hakuna Rais toka Nyerere mpaka Magufuli walioweza kufikia kiwango hicho.
- Ni Rais aliyeongeza tija katika kilimo kwa kuweka ruzuku katika pembejeo na kutafuta masoko ya mazao ya wakulima. Hii ndio tafsiri halisi ya kumsaidia MNYONGE.
- Ni Rais wa kwanza aliyetuzawadia miundo mbinu ya kimkakati ambayo haikuwepo TZ kama SGR, bwawa la Nyerere(umeme), vijiji vyote kufikiwa na umeme, n.k. Umeme na usafirishaji ndio viashiria namba 1 vya maendeleo ya nchi.
- Ni Rais wa kwanza mwenye dhamira ya kweli ya kutuletea aka.. mwali- KATIBA MPYA.
- Ni Rais wa kwanza aliyetuletea Dira ya maendeleo ya TZ ya miaka 50 nzuri na itayoitoa TZ katika umasikini. Hapa wengi hawajaisoma; pateni muda mkaisome ndio mtatambua umuhimu wa Rais Samia na jinsi anavyohitaji kuikomboa Tanzania. .....NB: kwa wale wanaouliza swali: Kuna anayefahamu, Rais Samia anatupeleka wapi? Isomeni Dira hii, mtapata majibu.
99.03Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.