Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Kuacha kuchakata them ladies massively, haya ni mafanikio makubwa kwangu, sasa hivi nna pisi zangu chache tuu nimetulia nazo.
 
Usikate Tamaa, usichoke kutafuta, Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake kwako na wala hachelewi....

Msuhukuru Mungu kwa kibali na zawadi ya Uhai na Afya alokujalia, Mara zote mtumainie yeye tu.

Nakuombea Roho Mtakatifu ahuishe na kufungua maskio ya kiroho moyoni mwako ili uwe tayari kuskia sauti ya wito wa Mungu katika maisha yako.

Bwana na akutendee muujiza wako kabla ya mwaka ujao kwisha.
Amen
 
tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo
 
Kufanya jambo alafu ukaja kujutia baadae linaumiza sana

2023
Nimejifunza kuepuka kufanya jambo ambalo litanifanya nijute
 
Nimejifunza kutolazimisha mwanamke anipende.Mwache aende akitaka kwenda aende atakuja kujuta maamuzi yake kwa muda mfupi tu dunia itakapomfundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…