Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Hayati alikuwa Rais bora kuwahi kutokea. Alikuwa mzalendo wa kweli na aliyewapenda Watanzania kwa dhati. Alifanya makubwa mengi sana ndani ya muda mfupi kuliko Rais mwingine awaye yote.
 
Badala ya kuiombea nchi na wananchi tuombee mfu? Ukishadedi umededi unasubiri hukumu.
 
Ni jambo jema kumuombea Marehemu.

Habari muhimu ni kuwa Magufuli, alikuwa kiongozi 1.MKATILI
2.WATU WAMEUWAWA NA KUPOTEA KATIKA UTAWALA WAKE
3.ALIVURUGA UCHUMI WA NCHI BIASHARA.

4.AMELETA OMBWE LA AJIRA KWA KUTOAJILI MUDA MREFU.
5.ALIKUWA NI MTU MWENYE VISASI KWA WALIOMKOSOA
Kumkumbuka ni vema ili asamehewe UNYAMA ALUOUFANYA wakati wa Uhai wake.

Sioni fahari,yoyote kwa mwaka mmoja baada ya kifo chake.

Ni UJINGA uliovunja REKODI YA DUNIA Kumshangilia na kumtukuza kiongozi aliyekuwa mkatili namna ile.
 
Kwa hiyo alikuwa anamkubali kwa vitendo vyake? Amesahau alivyomdhalilisha Askofu mwenzake kwa kumuweka katika kundi la wahamiaji haramu? Amesahau yaliyompata Tundu Lisu?
 
Acheni kuamini upuuzi, yesu hajawahi kumfufua mtu
Yesu Mwenyewe alitenda mbele yao wakaona kwa macho yao na wakambishia. Naye akaawambia nendeni kwa babayenu maana yupo. Kwahiyo kupingwa leo kwenye ulimwengu huu sio ajabu hata kidogo. Wewe si wa kwanza.
Ila kwa binadamu iko siku yake atauona ukweli. Muhimu ni kuomba Neema kuutambua Ukweli kwenye muda sahihi. Pokea.
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Bashite na sabaya walianza uongozi kipindi cha nani
 
Hakuna Mungu na upuuzi kama huo, enjoy life, ukifa ndiyo mwisho wako, unarudisha protons na electrons kwa universe
Ishi ukitambua vita unayopigana kwa misuli yote ilishashindwa kabla ya uzao wako uliokuleta Duniani haujazaliwa. Pokea.
 
Sikupenda kabisa alivyofananishwa au kuitwa Yesu hadharani, bungeni na yule Waziri wa ajabu ajabu na hakukemea popote.
Hao ni chawa.

Binafsi JPM hakuwahi kujilinganisha na Mungu.

Actually he was the most God-fearing president among them all.
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Umbwa wewe tuachie page yetu kenge we
 
Hao ni chawa.

Binafsi JPM hakuwahi kujilinganisha na Mungu.

Actually he was the most God-fearing president among them all.
He did not rebuke them in public. He should have done that. Mungu ampe pumziko la Amani.
 
Ukimzungumzia magufuli unagusa watu wengi sana.kifupi mpera mpera wake nilikuwa naupenda sana nchi ilichangamka.
Uchumi wa nchi ulikua kwa kasi sana.

Sasa hivi tunakopa, tunaomba misaada na wameongeza kodi na tozo za kutosha...

Lakini hakuna mradi mkubwa unaoendelea vizuri, hakuna ajira, hakuna nidhamu maofisini, n.k.

Mpaka unajiuliza kama tuna uongozi.
 
Haikuhusu tuachie sisi
 
Ni makosa makubwa kufikiri unaweza kuombewa baada kufa huku ukiwa umetenda midhambi kibao.

Mtu kauwa,kaamuru watu watandikwe risasi,kuteka.,........ halafu unaombewa !.
Tuthibitishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…