Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Ni upumbavu mkubwa kuingilia kile watu wengine wanachoamin...FUATA YAKO ,FUATA IMAN YAKO
 
Mnaombeza JPM haya sasa cream ya nchi watakuwa chato kwenye misa ya kumwombea na kumbukizi.JPM hawezi sahaulika the best president ever
 
Kwanini iwe mwanza au Kanda ya ziwa au Usukumani?

Nilikuwa siamini kitu kinaitwa Sukuma Gang sasa nakiona?
So hata Maaskofu wasukuma walikuwa kitu kimoja nakumbuka hata ya Gwajiboy , Porn Star
Mwambie na askofu wa Moshi aadhimishe Misa kwa ajiri ya Magufuli tutashiriki tu,
 
Mnaombeza JPM haya sasa cream ya nchi watakuwa chato kwenye misa ya kumwombea na kumbukizi.JPM hawezi sahaulika the best president ever
Wanaenda kinafiki tu ila mioyo yao haiko hapo na believe me Mungu alie hai atadhihirisha imagine alitaka kumuua lisu kwa kumpiga risasi 36 na kama haitoshi akakataa watu wasimuombee Mungu alivyofundi akaliuwa lenyewe kabla ya lisu leo mnaliombea jitu liko motoni.
 
Chawa,inzi,viazi,makokoro,hamnazo,pangu pakavu,visokorogwinyo na wazee wakujipendekeze kwa team ile wanalia sasa kusikia mambo yatafanyika chato tar 17/03/2022
Mbaliz%20Seminar%201996-2000%F0%9F%8E%93%2020211016_135046.jpg
 
Wanaenda kinafiki tu ila mioyo yao haiko hapo na believe me Mungu alie hai atadhihirisha imagine alitaka kumuua lisu kwa kumpiga risasi 36 na kama haitoshi akakataa watu wasimuombee Mungu alivyofundi akaliuwa lenyewe kabla ya lisu leo mnaliombea jitu liko motoni.
Anayepanga umri wa kuishi ni Mungu kwa makusudi yake na malengo yake.General msuguri ana miaka 102 na sasa lakini aliongoza vita ya uganda na alichanja watu sana kule kakini bado anaishi hadi leo.uwe mwenye dhambi au mkamilifu wote ni wa Mungu tumeumbwa kwa mfano wake
 
Wazazi wa Azory Gwana, Ben Saanane, Mawazo, Akwilina... hawawezi kumsahau. Hata yule jamaa aliyeambiwa akae home na mav* yake, naye hawezi kumsahau.
Watanzania tunamkumbuka sana Rais wetu bora - kiboko ya mafisadi, mabeberu na vibaraka vyao.
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
wakatoliki wana historia ya ukatili
 
Back
Top Bottom