Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Aliuwa magaidi ambao walikuwa wanauwa wezao waliobaki wakakimbilia msumbiji nako wakapata cha moto
 
Watanzania mafisadi walishangilia. Watanzania wazalendo (na ambao tupo wengi - majority) tuliumizwa sana na kifo chake.
Mtu mwema au muovu hujionyesha tangu akiwa mtoto hajitokezi tu ukubwani. Watu waliomkuza na waliokua naye watamjua vizuri kuliko waliomsikia tu. Wengi wanamtuza ni wale waliomskia tu akiwa raisi pengine na waziri.
Raingi waliyompaka haichuji haraka...
 
Wakienda kinafiki wewe inakuuma nini? Na wewe nenda.
 
Wao hawatakufa? Kama wanaokufa ni wauaji basi na wao ni wauaji maana sote tutakufa.
 
Unatuletea hearsay hapa, weka facts mkuu.
 
Usimlinganishe mzoga wenu na musuguri ; musuguri alitetea taifa kwahiyo aliowauwa ilikuwa vita halali hilo jambazi lenu lilimuuwa Ben sanane baada ya kuambiwa phd yake feki akaja kumpiga lisu risasi kisa kashindwa hoja bungeni jinga kabisa shetani lile.
 
Tuwekee uthibitisho wa kifo cha Ben Saanane na uthibitisho wa kwamba aliuliwa na Magufuli. Anything short of that you are loser & hater.
 
Wewe fala unaposema wengi! Ni wangapi?? Mimi na familia yangu usituhusishe na huyo mwehu.
Sihusishi wabadhirifu, mafisadi na vibaraka wa mabeberu kama wewe na familia yako.

Watanzania wengi ni sisi Wazalendo na tunaopambana kupata ujira kwa njia halali.

Na bado, Magufuli anaendelea kuwanyoosha hata katika umauti wake.
 
Tuwekee uthibitisho wa kifo cha Ben Saanane na uthibitisho wa kwamba aliuliwa na Magufuli. Anything short of that you are loser & hater.
Magufuli alimpoteza Ben sanane na magufuli alimpiga lisu risasi 36 hutaki kafie mbele umfwate
 
Kwenu mliofaidika na udhalimu wake.
Hata wewe umefaidika
1)hospital
2)mashule na madawati
3) elimu bure
4)alitoa vehicle na stiker za nenda kwa usalama
5)machinga na mama lishe
6)mbolea bei chini
7)SGR
8)bwawa la nyerere ambalo linapigwa zengwe
9)na mengine ongezea mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…