Rais2045
JF-Expert Member
- Dec 31, 2021
- 262
- 360
wakristo kinachowaponza ni unafikiNaona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakristo kinachowaponza ni unafikiNaona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂
Hakuwa mzalendo kwa nchi yake bali kwa kabila lake.Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi. Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.
View attachment 2147385
Chawa kama wewe ndiyo inawagusaMhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi. Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.
View attachment 2147385
HaituhusuHakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
Hakuna kama mwl JK Nyerere.Hakuna kama Magufuli, aendelee kupumzika kipenzi cha watanzania
Ndoto zinaruhusiwa piaMagufuli ni kiongozi bora sana wa wakati wetu. Ametufikisha uchumi wa kati ndani ya miaka mitano tu!
Kwa hiyo kwa akili yake Marais wote waliofia madarakani ni waovu! Hilo jamaa ni very stupid!Kufa siyo kitu cha hovyo, kila nafsi itaonja umauti after all.
Tukiishi, twaishi kwa Bwana.
Tukifa, twafa kwa Bwana.
Kwahiyo tukiishi ama tukifa, sisi tu mali ya Bwana.
Hajatokea rais bora kabisa Afrika kama mwl JK Nyerere.Ametuonesha kwa vitendo jinsi uongozi bora unavyoweza kulivusha taifa letu na kuliletea maendeleo yanayoonekana.
Chuma kwakoJPM alikuwa chuma kwelikweli.
Aina gani ya kifo siyo ya Kibwege?Angekuwa bora asingekufa kibwege
Pipa na funiko .Ahsante mkuu
Wewe kima mda wako upo! Hata wewe ni muovu vile vile na roho yako mbaya! Nakwambia mda si mrefu utapata unachostahili! Mungu si wako tu! Mpumbavu wewe!Nina furaha mnoo baada ya Israel kumbeba mwovu..nimegain kama 10 kgs since march 17 mwaka jana
Kipenzi chakoUfisadi siyo mzuri mkuu.
Karibu Kawekamo tumuombee kipenzi cha Watanzania wengi.
Kipenzi chako wewe mwenyeweMagufuli ni kipenzi cha Watanzania wengi. Apumzike kwa amani Rais wetu bora.
Kwa hiyo Lisu ndo reference kwa kila kitu! Mfate ubrlgiji huko ukaolewe na wewe! Taahira kweli!Huyu Mchungaji/Padri/Askofu ni mnafiki mkubwa, ndiyo maana haya madini huwa naona ni utapeli mtupu!! Magufuli alidumisha amani gani? Kumtandika risasi Lissu?
Hivi kuna watu wanafiki kama wavaa madera a k a waislam! Nyamaza tu!wakristo kinachowaponza ni unafiki
Sikupenda kabisa alivyofananishwa au kuitwa Yesu hadharani, bungeni na yule Waziri wa ajabu ajabu na hakukemea popote.Hakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
Aliukazia ugonjwa ambao ulizoa watu wake wote wa karibu, angeweza kuomba Pfizer US mapema kabisa kabla hali haijawa mbayaAina gani ya kifo siyo ya Kibwege?