Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi. Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Hakuwa mzalendo kwa nchi yake bali kwa kabila lake.
 
Tumwombee kama tunavyowaombea wakosefu wengine, lakini siyo kwa sababu alikuwa kiongozi mzuri.

Kiuongpzi, marehemu alikuwa kiongozi mbaya kuliko yeyote ambaye tuliwahi kuwa naye. Alikuwa kiongozi katili kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, mdhulumaji, aliyejaa chuki na upendeleo, n.k.

Tunapomwombea huruma ya Mungu, tusisahau kuliombea Taifa letu ili isitokee wakati Mungu wetu akaruhusu Taifa lipate kiongozi mbaya wa kiwango cha marehemu, kiongozi muuaji, mtesaji, mdhulumaji, asiyejali haki wala uhuru wa binadamu wenzake.

Mungu azidi kuwajalia moyo subira, unyenyekevu wale wote waliopotelewa na ndugu zao (Ben Sanane, Azory Gwanda, Kinguye, n.k.). Mungu azidi kuwajalia moyo wa msamaha wale waliopatwa na madhira makubwa yaliyosababishwa na marehemu (Lisu, Rugemarila, Deo, na wengine wengi waliorundikwa ndani kwa kesi za kutengeneza ili kuwakomoa).
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi. Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Chawa kama wewe ndiyo inawagusa
 
Kufa siyo kitu cha hovyo, kila nafsi itaonja umauti after all.

Tukiishi, twaishi kwa Bwana.
Tukifa, twafa kwa Bwana.
Kwahiyo tukiishi ama tukifa, sisi tu mali ya Bwana.
Kwa hiyo kwa akili yake Marais wote waliofia madarakani ni waovu! Hilo jamaa ni very stupid!
 
Nina furaha mnoo baada ya Israel kumbeba mwovu..nimegain kama 10 kgs since march 17 mwaka jana
Wewe kima mda wako upo! Hata wewe ni muovu vile vile na roho yako mbaya! Nakwambia mda si mrefu utapata unachostahili! Mungu si wako tu! Mpumbavu wewe!
 
Huyu Mchungaji/Padri/Askofu ni mnafiki mkubwa, ndiyo maana haya madini huwa naona ni utapeli mtupu!! Magufuli alidumisha amani gani? Kumtandika risasi Lissu?
Kwa hiyo Lisu ndo reference kwa kila kitu! Mfate ubrlgiji huko ukaolewe na wewe! Taahira kweli!
 
Back
Top Bottom