Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Huna ulijualo.

ATCL imekuwa ikitengeneza faida. Ni vile ilirithi madeni makubwa na yenye riba zisizo rafiki yaliyosababishwa na serikali za hao ndugu zako unaowahusudu.

Kwahiyo faida ilikuwa na inaendelea kugharamia hayo madeni. Ukija kutafuta net profit ndio inaonekana ni hasara.

Lakini ATC ipo on fire. Na inakuja kwa kasi sana katika kutawala anga la Afrika Mashariki.
Kawadanganye mapopoma wenzako
 
Kuweni makini maana neno la Mungu haliishi kutakasa mashindano yetu ya nani imani yake ni bora au sahihi. Wakatoliki na Wasiowakatoliki.

Kwake yeye analoangalia zaidi ni uhusiano wa nafsi yako na Yeye.

Tuwe makini pia tunapotafsiri kati ya; Kuombea wafu na kuwaomba wafu na nini kimekatazwa.

Biblia haijaandika popote pale Mungu aliposema kitu fulani usiniombe. Hamna mpendwa.

Kafungua njia kwa binadamu; Soma Phillipians 4:6 ( Wafilipi 4:6)
hiyo haizuii kukemea imani potofu. tunakemea kuombea wafu, tunakemea replacement ya Damu/Jina la Yesu kwa mafuta ya upako, tunakemea imani zingine zote chafu. hii nayo mojawapo. acheni, ni dhambi na chukizo kwa Mungu.
 
Tena umebold kabisa maneno “na baada ya kufa ni hukumu “ je hukumu hiyo haiwezi kua msamaha ? Ya kwamba mmempangia Mungu kuhukumu ni kutupa roho ya mfu jehanamu ?
kitu gani ambacho hujaelewa hapo? unasomaga Biblia?
 
Mhu 9:5​

"Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."

Mnapoteza muda bure kumuombea mtu aliyekwisha kufa. maandiko matakatifu yanasema kuwa matendo ya mtu yataambatana naye. kama alitenda mema basi atalipwa kutokana na mema yake, na kama alitenda uovu basi ataopokea malipo ya uovu wake. Sala zetu hazisaidii ambao wamekwisha kufa. Tungeelekeza sala na maombi yetu kwa walio hai ili watubu na kuacha maovu badala ya kusubiri wafe ndipo tuanze maigizo ya kuwaombea
Be blessed, matendo take yaliandamana naye....mazuri yawe mabaya hayabadilishwi kwa kuombewa
 
haizuii kukemea imani potofu. tunakemea kuombea wafu, tunakemea replacement ya Damu/Jina la Yesu kwa mafuta ya upako, tunakemea imani zingine zote chafu. hii nayo mojawapo. acheni, ni dhambi na chukizo kwa Mungu.
Naomba mstari unaosema kusali kuhusu ndugu yako aliyekufa ni chukizo kwa Mungu.
Tusitumie nguvu nyingi sana kuonyesha uimara wetu wa imani zaidi ya wengine kama Mafarisayo badala ya kuangalia zaidi mahusiano ya nafsi zetu na Mungu.
Uwenye haki wetu hautoki kwetu bali hutoka kwa Mungu ( Isaya 54:17)
 
Pole sana mkuu,
Unatakiwa ku-move on.

Karibu Jumapili ya tarehe 20 Machi tumuombee Rais wetu bora kabisa wa wakati wote pale Kawekamo, Mwanza.
Ataweza vipi ku move on kama majeraha aliyoachiwa(yawe physically, financially au psychologically) bado hayajapona?
Ku move on ni pamoja na kuachana na huo ujinga wa kumuombea, wanajua hili jitu lilikuwa very controversial na kuanzisha hayo mambo ya kumuombea kunaleta mixed feelings sasa kwanini wanafanya hiyo? Ina maana feelings za walioteswa na kudhurika hazina thamani yoyote?
 
Nakubali ila naomba tu mstari unaosema kusali kuhusu ndugu yako aliyekufa ni chukizo kwa Mungu.
Tusitumie nguvu nyingi sana kuonyesha uimara wetu wa imani zaidi ya wengine kama Mafarisayo badala ya kuangalia zaidi mahusiano ya nafsi zetu na Mungu.
Uwenye haki wetu hautoki kwetu bali hutoka kwa Mungu ( Isaya 54:17)
 
Why do you limit God in his judgement decisions? Sio kwamba kwa Mungu kila kitu kinawezekana? Kusubiri hukumu haiwezi kua hukumu ya kusamehewa?
maana ya baada ya kifo ni hukumu ni kwamba, Mungu amekupatia wewe opportunity kutengeneza maisha naye sasahivi ungali mzima, kwasababu ukishakufa opportunity hiyo haipo. tunaokolewa kwa njia ya kumkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yetu, na hata dhambi tunasamehewa kwa kukiri kwamba tumetenda dhambi na kuhitaji msamaha. ukishakufa unakiri vipi? opportunity hiyo ni sasa, baada ya kufa ni hukumu tu, kwamba Mungu ametenga siku ya hukumu atakayowahukumu walio hai na wafu, siku hiyo ndiyo siku ya kugawanya kondoo na mbuzi, wasafi na wachafu. siku ya hukumu sio siku ya msamaha, Neno la Mungu linasisitiza kuwa siku ya wokovu ni sasa.

2Korintho 6:1-2, Kama wafanyakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure . 2 Kwa maana Mungu anasema: “Wakati ufaao niliku sikiliza, na siku ya wokovu nilikusaidia. Tazameni, huu ndio wakati ufaao; leo ndio siku ya wokovu.”

Mathayo 25:32 SRUV​

na mataifa yote yatakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi

2 Wakorintho 5:10 BHN​

Maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya
 
Hapa sasa unalazimisha kwa kukosa hoja!! Hivi unajua hao unaowaita walokole sehemu kubwa ni fake ! Ulokole unaotaka kuuona ndani ya mkatoliki ni upi ? Wa kulia makanisani ? Ni wa ku fake kutoa mapepo kama Charisma wa mbezi beach ?
sehemu kubwa, ila kuna ile sehemu nyingine sio fake. nikuhakikishalo ni kwamba, imani ya Kilokole/kuokoka ndio imani sahihi, ila wanaoiendea yawapasa kujikana na kubeba msalaba kumfuata Yesu, sio rahisi, ni ngumu as long as mtu unaishi hapa duniani, utakuwa unapambana na uovu maisha yote, lakini ashukuriwe Mungu kwamba baada ya yote utaurithi uzima wa milele. hii inafanya wengine wawe walianza vizuri, wakabadilika though still wanasali humo. na zaidi ya yote, tunaitwa tumeokoka kwasababu tumejikabidhi kwa Mwokozi, anatuombea, shida ni wale ambao hata mwombezi hawana, wao wanaomba kwa maria ambaye hana uwezo kuokoa.
 
Naona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂
Alikuwa MUONGO ,makampuni ya serikali TTCL/ATCL yalifannya sanaa za maonesho KUTOA GAWIO kwa serikali ,wakati yalikuwa yanajiendesha kea hasara.

Lengo ni kuwahadaa WATANZANIA wajinga ambao hawana CRITICAL mind.

Mwishoni ikabainika katika report ya CAG kuwa mashirika hayo ni Yalioparate kwa hasara.

Kifupi MAGUFULI ALIKUWA SAWASAWA NA (Mfalme JUHA)
Wewe ndio hauna critical mind kuelewa jambo jepesi sn, alifufua shirika ambalo lilikuwa limekufa kabisa na kurithi madeni chungu nzima, hiyo critical mind yako iko wapi? Au unasahau madeni ya kina mtaka wanaenda kukodi ndege shirika likaingia hasara ya mabillion ya pesa, watanzania kama wewe ndio hamna CRITICAL MIND.

Kwa ufupi ATCL ilikuwa imekufa kabisa, shirika haliwezi tengeneza faida wakati lime rithi madeni ya mabillion. Ndio maana ATCL haiwezi kwenda baadhi ya nchi ndege zake zitakamatwa. Magufuli ndio alitengeneza hayo madeni?

Unashindwa kuelewa a simple fact like that? Magufuli was not an Angel na binafsi kuna mambo kadhaa nilikuwa nampinga lakini ni Rais unaweza muweka level za Nyerere, he was A TRUE leader, ni Nyerere na magufuli walio liliwa na wananchi kiasi kile, you have to ask yourself why!!
 
Mtu akijazwa na roho mtakatifu anakuwaje? Au wewe umekariri. Matendo yako yanaweza kutoa tafsiri kama unaroho mtakatifu au huna usikariri mkuu, roho mtakatifu hakai kwa wenye majivuno, wachoyo, wabnafsi, wasengenyaji na wasiothamini wenye shida na wenye mahitaji.

Mfano kwa maamuzi aliyokuwa anayafanya JPM hasa kwa jinsi alivyoshughulika na swala la corona unadhani ule ulikiwa ni uwezo wake peke yake, unahisi hakuwa na nguvu ya roho mtakatifu.
ukitaka kujua mtu akijazwa Roho Mtakatifu anakuwaje, okoka, hayo maswali yote yataisha.
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Nilikua nasubiri comment ya haters.

Ni ajabu. Hii nchi yetu ni nzuri Sana. Sema inamatabaka yalioanza kujitokeza enzi za Mkapa, haters wote, ni wale waliofaidika na cake ya taifa hasa kwa wizi hasa ulioshamiri enzi za kikwete.

Kwa Sasa watafanya lolote ilimradi kuleta propaganda za kuonyeaha kua hayati alikua mbaya, sababu kuu ukiwa nikulinda maslahi binafsi yaliotokana na wizi kwa kutumia udhaifu wa mifumo ya kiserikali.

Uadui wao unatokana na magufuli kuziba mianya ya wizi enzi zake.

Ni bahati mbaya Tulienae hajielewi na ameamua kuacha Mambo yaende tu, Ila Kama kingepatikana Chuma kingine! Maisha kwao yangekua mazito Sana.

Watu wa system, tunawaombeni 2025 tuleteeni kiongozi wa nchi. Hii Hali ikiendelea usalama unaweza tetwreka siku za usoni. Watu wanaweza choka halafu tukavurugikiwa.
 
Tell this story to Bashite and Sabaya hahaha, wanafiki wakubwa
 
ninyi mnatumia common sense kutafsiri Biblia, sisi tuliookoka tunatumia Roho Mtakatifu ambaye ndiye mwandishi wa Biblia.
Umeokoka halafu kesho unazini, keshokutwa unaiba!
 
Ataweza vipi ku move on kama majeraha aliyoachiwa(yawe physically, financially au psychologically) bado hayajapona?
Ku move on ni pamoja na kuachana na huo ujinga wa kumuombea, wanajua hili jitu lilikuwa very controversial na kuanzisha hayo mambo ya kumuombea kunaleta mixed feelings sasa kwanini wanafanya hiyo? Ina maana feelings za walioteswa na kudhurika hazina thamani yoyote?
Haha... Waliokuwa wanaishi kiwiziwizi walikuwa na hali mbaya sana kipindi cha Magufuli. Ni haki wameshindwa ku-move on... Na bado.
 
Naona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂

Wewe ndio hauna critical mind kuelewa jambo jepesi sn, alifufua shirika ambalo lilikuwa limekufa kabisa na kurithi madeni chungu nzima, hiyo critical mind yako iko wapi? Au unasahau madeni ya kina mtaka wanaenda kukodi ndege shirika likaingia hasara ya mabillion ya pesa, watanzania kama wewe ndio hamna CRITICAL MIND.

Kwa ufupi ATCL ilikuwa imekufa kabisa, shirika haliwezi tengeneza faida wakati lime rithi madeni ya mabillion. Ndio maana ATCL haiwezi kwenda baadhi ya nchi ndege zake zitakamatwa. Magufuli ndio alitengeneza hayo madeni?

Unashindwa kuelewa a simple fact like that? Magufuli was not an Angel na binafsi kuna mambo kadhaa nilikuwa nampinga lakini ni Rais unaweza muweka level za Nyerere, he was A TRUE leader, ni Nyerere na magufuli walio liliwa na wananchi kiasi kile, you have to ask yourself why!!
Hawezi kuelewa wakati chuki inamtia upofu.
 
Back
Top Bottom